Uchaguzi 2020 Mbowe ashindwa kutetea Ubunge wake katika Jimbo la Hai

Uchaguzi 2020 Mbowe ashindwa kutetea Ubunge wake katika Jimbo la Hai

Spirit never die, ataondoka upinzani utarudi, anajidanganya tu na mihasira yake.
Kweli mkuu na siku CCM ikitoka madarakani ndo mwisho wake maan hawajaandaliwa kuwa wapinzani....
Ona hoja za vijana wake unakaa unawaza hivi siku wakiwa wapinzani wataendelea na hoja zao za kutetea dhambi au wote wataunga mkono jitihada upinzani uwe kwa Chaumma
 
Japo watu wanashangilia hili lakini tuendako mbele kila nafsi itajuta.

Wapo Watu wana shangilia sasa Upinzani kufa, baadae watajua madhara wakiwa wamesha chelewa.
 
Kama last time alishinda why not this time?!

Issue hapa kuna uhuni wa hali ya juu zaidi umefanyika ambao haukutegemewa na mtu yeyote mwenye akili timamu kama ungeweza kutokea Tz.

Katiba Mpya unayoipigia kelele unadhani Chadema peke yao wanaweza kuileta? au kususa nako unadhani panaweza kusaidia chochote? mbona walisusa Znz maisha yakaendelea, wakasusa tena S/M maisha bado yanaendelea?!
Kwani watu hawapevuki kiakili? Hawabadili mawazo? Hawaelimiki? Labda wanataka wajaribu mabadiliko baada ya miaka 15 bila manufaa kwao.
 
kwel mkuu na siku ccm ikitoka madarakani ndo mwisho wake maan hawajaandaliwa kuwa wapinzani....
Ona hoja za vijana wake unakaa unawaza ivi siku wakiwa wapinzani wataendelea na hoja zao za kutetea dhambi au wote wataunga mkono jitihada upinzani uwe kwa chaumma
CCM ni kikundi kidogo sana cha watu kinacholindwa na dola na tume ya uchaguzi kuendelea kubaki madarakani, nje ya hapo hawana lolote.
 
Japo watu wanashangilia hili lakini tuendako mbele kila nafsi itajuta.
kwel Kabisaa.. maslai ya watu yatasahaulika na hakuna wa kuwasemea.

Kampen tu za mwaka huu ni ushaidi tosha kwamba upinzani upo kwa ajili ya kuwasemea.
 
Una justify vipi ushindi wa hilo pengo la kura kwenye mazingira ya uchaguzi yaliyogubikwa na utata kila kona ya nchi?

Hata kama walikuwa close last time, hiyo sio sababu this time ashindwe kwa pengo la kura karibia sitini elfu, it's all fake!.
Ni muhuni tumemnyima kura, tena mimi ni ndugu yake lakini mwaka huu nimesema HAPANA
 
Kwani watu hawapevuki kiakili? Hawabadili mawazo? Hawaelimiki? Labda wanataka wajaribu mabadiliko baada ya miaka 15 bila manufaa kwao.
Wanaweza, ila sio kwenye mazingira ya uchaguzi huu, kipofu pekee ndii ataamini hilo unalowaza.

Anzia OCD Hai kumwambia Mbowe hatarudi, Ndugai bungeni, kura feki everywhere...no way!.
 
CCM ni kikundi kidogo sana cha watu kinacholindwa na dola na tume ya uchaguzi kuendelea kubaki madarakani, nje ya hapo hawana lolote.
Sijajua mnalalamika nini, wakati wenzenu CCM wanahamasisha watu wao wakajiandikishe kwenye daftari la kupiga kura nyie mlikuwa busy na mitandao.

Haya wamehamasishana wakapige jura nyie mko busy kupost upuuzi kwenye mitandao, leo mmepigwa bao mnalalamika kuibiwa.

Mawakala wenu si walikuwepo vituoni ama mmeibiwaje?
 
Hongera sana Mh. Mbowe. Mchezo wa siasa ni kushinda au kushindwa. Wananchi wamesema sasa basi. CCM imeshinda kwa kishindi Jimbo la Hai

HII CCM WANAWEZA ONA NI USHINDI, BUT HUU NDO MWANZO WA CCM KUANGUKA, KWA KWELI KURA ZINGEIBWA HATA KWA AIBU NA KI SCIENCE, KWA NAMNA HII YA KUIBA KURA, HASIRA MNAOISABABISHA NI KUBWA SANA NA INAENDA KWA KILA MTU, MPANA MWENYEKITI WA CHADEMA......

I DONT KNOW KWA NINI CCM MMEKOSA KUFIKIRI KIASI HIKI .....KWA STYLE HII SASA NAMWELEWA MAKONDA, ANGEFAA HATA KUWA WAZIRI MKUU, MAANA KWA PROJECT KAMA HII YA UCHAGUZI ANGEIPIGA VIZURI SANA, HE SIMPLY DOESNT CARE OF CONSIDER ANY LOGIC IN HIS DECISIONS....
 
Kamaliza kazi aliyoteuliwa nayo anangojea teuzi.

Yule DC wa Arusha ngoja tusubirie atakavyomsabaratisha ema.

Hata km ni wizi gap ni kubwa aisee

FB_IMG_1603932400512.jpg

FB_IMG_1603925142018.jpg
 
hii chadema na akina mbowe nilishawakataaga tangu walivyomkaribisha lowassa. dhambi ya tamaa na dr slaa inawatafuna sasa.
kufanya kosa sio kosa bali kurudia kosa ndo kosa....
2015 tulibelieve badala ya kufanya reasoning na yalikuwa maamuzi mazuri kwa kipind hicho maan tulipata positive impact
 
Back
Top Bottom