Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Kama kamata ya michongo na kuachiwa hivyo hivyo, lengo pia ilikuwa hukumu ya mchongo vile vile, maana yake kila kitu michongo, full michongo ya kibongo bongo🤔.watu wanadai kuna kusamehewa kwa Mbowe. hakuna kusamehewa. asamehewe kwani amekosea nini? haki itendeke na ionekane imetendeka. tujue mbivu na mbichi ni zipi. kuepusha hali ya kufunika kombe mwanaharamu apite. unaposema asamehewe unatakiwa kujiuliza wa kosa gani? aachiwe huru kwa vigezo gani? kuwa watu watakuwa wanakamatwa na kuachiwa tu huru pasipo kuwa na utaratibu unaoeleweka? na kama kuna kukosekana kwa haki watu washtakiwe.
Una roho mbaya ya kikatili zaidi ya kaburu P Botha pale S.A.,na bila shaka itatuletea familia ya kikatili isio na chembe ya upendo,its not a rocket science case ya Mr.Mbowe ni ya kulazimisha na elewa upo innocent until court of law iamue vinginevyo na mashitaka yote yanakuwa na dhamana,tunaishi nchi ya kikatili ndio maana haki za watu hazifuatwi,case iendelee but why dhamana hakuna?hata makaburu walikua na dhamana kwenye mahakama za kikaburu.watu wanadai kuna kusamehewa kwa Mbowe. hakuna kusamehewa. asamehewe kwani amekosea nini? haki itendeke na ionekane imetendeka. tujue mbivu na mbichi ni zipi. kuepusha hali ya kufunika kombe mwanaharamu apite. unaposema asamehewe unatakiwa kujiuliza wa kosa gani? aachiwe huru kwa vigezo gani? kuwa watu watakuwa wanakamatwa na kuachiwa tu huru pasipo kuwa na utaratibu unaoeleweka? na kama kuna kukosekana kwa haki watu washtakiwe.
Huyo ni mshirika katika michongo ya kesi hiyo ya kuchonga.Una roho mbaya ya kikatili zaidi ya kaburu P Botha pale S.A.,na bila shaka itatuletea familia ya kikatili isio na chembe ya upendo,its not a rocket science case ya Mr.Mbowe ni ya kulazimisha na elewa upo innocent until court of law iamue vinginevyo na mashitaka yote yanakuwa na dhamana,tunaishi nchi ya kikatili ndio maana haki za watu hazifuatwi,case iendelee but why dhamana hakuna?hata makaburu walikua na dhamana kwenye mahakama za kikaburu.
Nawachukia sana hawa inzi wa kijanimbowe kawalaza na viatu ccm, wamebaki kuweweseka tu kama mahayawani.
Ndiyo hao hao wasiyo julikanaHuyo ni mshirika katika michongo ya kesi hiyo ya kuchonga.
Some people don't get it,sheria ingekuwa inafuatwa,Mbowe asingekamatwa na hao policccm,Wala asingefunguliwa mashitaka yoyote,watu wanadai kuna kusamehewa kwa Mbowe. hakuna kusamehewa. asamehewe kwani amekosea nini? haki itendeke na ionekane imetendeka. tujue mbivu na mbichi ni zipi. kuepusha hali ya kufunika kombe mwanaharamu apite. unaposema asamehewe unatakiwa kujiuliza wa kosa gani? aachiwe huru kwa vigezo gani? kuwa watu watakuwa wanakamatwa na kuachiwa tu huru pasipo kuwa na utaratibu unaoeleweka? na kama kuna kukosekana kwa haki watu washtakiwe.
No. Mbowe hawezi kuwa Rais na hilo hapana nitakataaa. anaweza kuwa vitu vingi but si kuwa Rais. with all respectSome people don't get
Some people don't get it,sheria ingekuwa inafuatwa,Mbowe asingekamatwa na hao policccm,Wala asingefunguliwa mashitaka yoyote,
May be angekuwa ni Raisi wa nchi hii,Tangu 2010.