Mbowe asisamehewe, ila sheria iachwe ifanye kazi huru. Mnapotaka aachiwe huru mnazingatia nini?Tufahamu Ukweli ni Upi

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
watu wanadai kuna kusamehewa kwa Mbowe. hakuna kusamehewa. asamehewe kwani amekosea nini? haki itendeke na ionekane imetendeka. tujue mbivu na mbichi ni zipi. kuepusha hali ya kufunika kombe mwanaharamu apite. unaposema asamehewe unatakiwa kujiuliza wa kosa gani? aachiwe huru kwa vigezo gani? kuwa watu watakuwa wanakamatwa na kuachiwa tu huru pasipo kuwa na utaratibu unaoeleweka? na kama kuna kukosekana kwa haki watu washtakiwe.
 
Kama kamata ya michongo na kuachiwa hivyo hivyo, lengo pia ilikuwa hukumu ya mchongo vile vile, maana yake kila kitu michongo, full michongo ya kibongo bongo🤔.
 
watu wanadai kuna kusamehewa kwa Mbowe. hakuna kusamehewa. asamehewe kwani amekosea nini? haki itendeke na ionekane imetendeka. tujue mbivu na mbichi ni zipi. kuepusha hali ya kufunika kombe mwanaharamu apite. unaposema asamehewe unatakiwa kujiuliza wa kosa gani? aachiwe huru kwa vigezo gani? kuwa watu watakuwa wanakamatwa na kuachiwa tu huru pasipo kuwa na utaratibu unaoeleweka? na kama kuna kukosekana kwa haki watu washtakiwe.
Una roho mbaya ya kikatili zaidi ya kaburu P Botha pale S.A.,na bila shaka itatuletea familia ya kikatili isio na chembe ya upendo,its not a rocket science case ya Mr.Mbowe ni ya kulazimisha na elewa upo innocent until court of law iamue vinginevyo na mashitaka yote yanakuwa na dhamana,tunaishi nchi ya kikatili ndio maana haki za watu hazifuatwi,case iendelee but why dhamana hakuna?hata makaburu walikua na dhamana kwenye mahakama za kikaburu.
 
Huyo ni mshirika katika michongo ya kesi hiyo ya kuchonga.
 
Kesho DPP akiwasilisha kusudio la kutoendelea na kesi wameshapata kisingizio cha "Mama kasamehe Kwa vile kaombwa na Zitto"
 
Some people don't get
watu wanadai kuna kusamehewa kwa Mbowe. hakuna kusamehewa. asamehewe kwani amekosea nini? haki itendeke na ionekane imetendeka. tujue mbivu na mbichi ni zipi. kuepusha hali ya kufunika kombe mwanaharamu apite. unaposema asamehewe unatakiwa kujiuliza wa kosa gani? aachiwe huru kwa vigezo gani? kuwa watu watakuwa wanakamatwa na kuachiwa tu huru pasipo kuwa na utaratibu unaoeleweka? na kama kuna kukosekana kwa haki watu washtakiwe.
Some people don't get it,sheria ingekuwa inafuatwa,Mbowe asingekamatwa na hao policccm,Wala asingefunguliwa mashitaka yoyote,
May be angekuwa ni Raisi wa nchi hii,Tangu 2010.
 
Some people don't get

Some people don't get it,sheria ingekuwa inafuatwa,Mbowe asingekamatwa na hao policccm,Wala asingefunguliwa mashitaka yoyote,
May be angekuwa ni Raisi wa nchi hii,Tangu 2010.
No. Mbowe hawezi kuwa Rais na hilo hapana nitakataaa. anaweza kuwa vitu vingi but si kuwa Rais. with all respect
 
Back
Top Bottom