Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
watu wanadai kuna kusamehewa kwa Mbowe. hakuna kusamehewa. asamehewe kwani amekosea nini? haki itendeke na ionekane imetendeka. tujue mbivu na mbichi ni zipi. kuepusha hali ya kufunika kombe mwanaharamu apite. unaposema asamehewe unatakiwa kujiuliza wa kosa gani? aachiwe huru kwa vigezo gani? kuwa watu watakuwa wanakamatwa na kuachiwa tu huru pasipo kuwa na utaratibu unaoeleweka? na kama kuna kukosekana kwa haki watu washtakiwe.