Tetesi: Mbowe atuma barua ya siri kwa Rais Magufuli kuomba amuangalie kwa jicho la huruma

Nadhani azoee tu, kuna watu wangapi wapo mahabusu kwa kukeuka taratibu za mahakama? Aendelee kusota ili liwe fundisho la kutenganisha uadilifu na uongo
KUB Mbowe ni kama Mandela.Mtetetezi wa haki lazima apate taabu.Ate Yesu apitata tabu sana chini ya mamlaka ya Herode ila historia ikahukumu vingine.Mtoto Aquilina apumuzike kwa amani pema peponi.
 
Kama ni barua ya siri Wewe umeipataje? UMBEYA HUU.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fake news,tuambieni aliyemtwanga risasi Lisu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Korosho zetu VP,mbona mnarudisha,si mlisema mnanunua wenyewe,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mtu mzima unaanzisha uzi wa uzushi halafu unakwenda nyumbani watoto wana kupokea na kukupatia pole kwa kazi ngumu ya ujenzi taifa kumbe kazi yako kubwa ni uzushi tu unapata kula yako 🏃🏿
 
Sasa Condom zinahusika vipi ktk issue ya Mbowe? Wee nae kumbe jinga sana wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
 
yeye wala ishu si kunyongwa ishu ni kufungwa kabisa maana anaona kesi hii imemkalia visivyo
Nikushauri tu kwa faida yako na kikazi chako.. kumfunga mbowe ni ndoto, nakushauri urudi ukalale upya na ikiwezekana uote kingine sio hicho ulichoandika na kuanza kukipigia debe mwenyewe tena humu..... Mbowe hawezi omba radhi kwa kile asichokijua.... nazan kiasi utanielewa....
 
Source niko masijala ya sehem muhimu - husika


BY EXTERNAL PAYMENT ACCOUNT BENEFICIARY - GEE2PATEL

Muongo mkubwa! Ungekuwa masijala panapohusika hii isingekuwa tetesi.
By the way: 1. hakuna afanyawe masijala anayeweza kuja jianika hapa kama ulivyofanya
2. Idadi ya nyuzi ulizoanzisha hapa zinatosha kuonyesha uko kazini na unalipwa kwa hili. Hivyo, endelea na kazi yako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…