Tetesi: Mbowe atuma barua ya siri kwa Rais Magufuli kuomba amuangalie kwa jicho la huruma

Tetesi: Mbowe atuma barua ya siri kwa Rais Magufuli kuomba amuangalie kwa jicho la huruma

Magufuli hiyo barua aiweke kwenye dustbin haraka sana, Mbowe kasahau kutofautisha mihimili?
Unashabikia propaganda za kipumbav,only a fool can buy this crap!
Mjinga akikuambia jambo la kijinga nawe ukakubali basi nawe unakuwa mjinga!
 
Ahaaa!!! Sasa nimeelewa. Kumbe raisi anaweza kuingilia kesi inayoendelea na kusababisha watu kupewa nafuu? Sasa anamwambia jaji muache ameniomba nimhurumie au anafanyaje? Kumbe raisi anaweza kubadilisha muelekeo wa kesi? Aisee kumbe Uhuru wa mahakama uko kwa kiwango hicho?

Hivi mtu mwingine akianzisha thread "MAHAKAMA HAZINA UHURU NA ZINAINGILIWA NA MIIMILI MINGINE" Wewe utakomenti nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupitia utaratibu wa mahabusu kuandika ujumbe wowote ule kwenda Ikulu, imepenya barua ndogo ya mheshimiwa mbowe akieleza machungu yake kwa mheshimiwa rais

Ujumbe huo una mazito kwanza akiomba rais Magufuli aweze kutoa mwelekeo wowote dhidi ya kesi inayomhusu , pili kasema pengine zinakuwa ni siasa hawasemi kwa kumaanisha,

kwa upande mwingine kasema ana mengi ya kumweleza endapo watakutana ana kwa ana,

ngoja Tuangalie mwitikio wa JPM

Source niko masijala ya sehem muhimu - husika

BY EXTERNAL PAYMENT ACCOUNT BENEFICIARY - GEE2PATEL
Wewe ndiye afisa masijara wa barua za siri za Magufuli?
 
CCM na ndugu zao waendelee kuandamwa na ajali na vifo,wengine tutaendelea kusherehekea tu!Karma is a bitch
una uhakika huyo aliyeko ubeljijiiii atapona kabisaa? hakuna cha karma, mwaka huu vifo vingi itakuwa upande wa upinzani
 
Wao hudai rais anaingili Uhuru Wa mihimili mingine,sasa na halo si watamugeuka tena kuwa kaingilia,atulie anyolewe vilivyo,kama ndo ningekuwa sekretari Wa rais, nisingefikisha kwake hiyo taka taka

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaambiwaje jambo la kijinga nawe unaliamini na kulishikia bango bila hata ushahidi?Kiufupi unafanywa wewe mjinga bila hata kujitambua,only a fool can buy that crap!!!!!
Hakuna hiyo barua zaidi ya kiwanda cha uongo huko lumumba!
 
Ahaaa!!! Sasa nimeelewa. Kumbe raisi anaweza kuingilia kesi inayoendelea na kusababisha watu kupewa nafuu? Sasa anamwambia jaji muache ameniomba nimhurumie au anafanyaje? Kumbe raisi anaweza kubadilisha muelekeo wa kesi? Aisee kumbe Uhuru wa mahakama uko kwa kiwango hicho?

Hivi mtu mwingine akianzisha thread "MAHAKAMA HAZINA UHURU NA ZINAINGILIWA NA MIIMILI MINGINE" Wewe utakomenti nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
huo ni ujinga wa mbowe badala ya kuandika barua kwa jaji mkuu au mahakamani anaipeleka kusiko husika, ndo maana nasema hakuna changes zozote zitatokea maana hata Magufuli hana la kufanya kwa ishu ya Mbowe
 
kwahiyo mnadhihilisha zile tuhuma kwamba mahakama iko magogoni pale kisutu ni tawi tuu ee. by thaway Mbowe sio wa type hiyo hadi kumpigia magoti jiwe. kwa mujibu wa mleta mada aendee tuu kukontroo mahakama siku moja ataonja adha hiyo hiyo
 
una uhakika huyo aliyeko ubeljijiiii atapona kabisaa? hakuna cha karma, mwaka huu vifo vingi itakuwa upande wa upinzani
Nampongeza kigwangalla kwa machungu anayopitia,ingependeza zaidi kama angelata pigo lingine chap chap!Pia Mwigulu imekuwa bahati mbaya,siku nyingine watavuka punda 8,inshallah tutasema RIP!
 
Source ya habari yako na pia kama kuna evidence yoyote. Please weka hapa
Kupitia utaratibu wa mahabusu kuandika ujumbe wowote ule kwenda Ikulu, imepenya barua ndogo ya mheshimiwa mbowe akieleza machungu yake kwa mheshimiwa rais

Ujumbe huo una mazito kwanza akiomba rais Magufuli aweze kutoa mwelekeo wowote dhidi ya kesi inayomhusu , pili kasema pengine zinakuwa ni siasa hawasemi kwa kumaanisha,

kwa upande mwingine kasema ana mengi ya kumweleza endapo watakutana ana kwa ana,

ngoja Tuangalie mwitikio wa JPM

Source niko masijala ya sehem muhimu - husika

BY EXTERNAL PAYMENT ACCOUNT BENEFICIARY - GEE2PATEL

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Abakie hukohuko tu maisha yanaendelea kuwa mazuri bila wauza ngada
Yeye mwenyewe atakuwa anashangaa akipanda karandinga mitaani watu wanapiga maisha kama kawaida hakuna mwenye habari naye atajijua na familia yake.
 
yeye wala ishu si kunyongwa ishu ni kufungwa kabisa maana anaona kesi hii imemkalia visivyo

Umeamini tukisema kwamba mahakama huwa zinatii zinachoagizwa na rais? Muambie rais asimkubalie bali amfunge ili aonekane ni rais asiyetaka mzaha. Akimaliza hapo avifute vyama vya upinzani, sambamba na kujiongezea muda wa kukaa madarakani.
 
Kwahiyo raisi anaweza kuingilia maamuzi ya mahakama !!? ....

Hapo sasa umetusaidia kuweza kupata jibu kuwa mbowe anashikiliwa na mahakama kwaajili ya agizo la jiwe " na sio kwa mujibu wa sheria kama ambavyo baadhi walivyo kuwa wanadhani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeamini tukisema kwamba mahakama huwa zinatii zinachoagizwa na rais? Muambie rais asimkubalie bali amfunge ili aonekane ni rais asiyetaka mzaha. Akimaliza hapo avifute vyama vya upinzani, sambamba na kujiongezea muda wa kukaa madarakani.
wala mkuu rais hana nia mbaya na upinzani, ila wapinzani ndo wanadeka sana na kuvunja sheria makusudi ili wakiguswa na mahakama ionekane zimetumwa na Magufuli
 
Back
Top Bottom