Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
- Thread starter
- #41
Pumbavu mkubwaKuitwa mjinga sio tusi..ndio ivyo mtu ulivyo..
Mfano wewe ulieleta huu uzi ni Mjinga sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pumbavu mkubwaKuitwa mjinga sio tusi..ndio ivyo mtu ulivyo..
Mfano wewe ulieleta huu uzi ni Mjinga sana.
Hivi Tanzania hakuna sheria maalum ya kudhibiti hate speech?"Watu wanadai katiba its about our life, RAIS anaita chokochoko, na sasa wameibuka na viongozi wa ajabu mfano kuna DC mjinga mjinga hapa ilemela aliita waandishi wa habari kuwaambia kuwa haruhusu mikutano ya hadhara wilayani kwangu. Wewe una wilaya yako?" @freemanmbowetz https://t.co/dCK06EfnJM
Waamini ubabe,kutokutenda haki na wasiotaka kufuata sheria katika ubora wenu,ninae muonea ajitokeze kwa niyasemayo.
Kama anabisha aingie kwenye kamusi halafu aje na mrejesho hapa,kushindwa kufanya hivyo ni kukubaliana na yote.Kuitwa mjinga sio tusi..ndio ivyo mtu ulivyo..
Mfano wewe ulieleta huu uzi ni Mjinga sana.
Hiyo ni kwa mataifa chini ya tawala za mikono ya chuma,aka malizia mwenyewe.Hakuna nchi iliyowahi kuendelea duniani bila ubabe na kuvunja sheria....hakuna nchi iliyowahi kuendelea duniani kwa kudekeza watu na kutekeleza kila wakitakacho.....
Mavi ya green color.Ukijickia una mavi kaaa nayo nyumbani kwako siyo kuleta uchafu hapa
Kamanda acha kushabikia upuuzi.Kama sio mjinga aje akanushe hapa
"Hata usipompiga basi mtemee mate"......Nyerere."Watu wanadai katiba its about our life, RAIS anaita chokochoko, na sasa wameibuka na viongozi wa ajabu mfano kuna DC mjinga mjinga hapa ilemela aliita waandishi wa habari kuwaambia kuwa haruhusu mikutano ya hadhara wilayani kwangu. Wewe una wilaya yako?" @freemanmbowetz https://t.co/dCK06EfnJM
Mwambie kuna corona arudi ndani ni hatari kwa maisha yakeMambo yenu ndio yaliyomtoa huko ili kuongeza nguvu kupambana na uharamia.
Tutamwambia baada ya kongamano la kuidai katiba mpya,ila pia zipo njia za kujikinga.Mwambie kuna corona arudi ndani ni hatari kwa maisha yake
Duhmleta mada wewe ni mjinga zaidi ya huyo dc.
Sasa ndugu yangu wakudada mbona raia wanamuogopa huyo mwamba kiwango,hicho ,ila pia hapo kuna uchochezi ulivyombebesha mwamba sio cya kumnasibisha navyo, mwambatanishe mwamba na uhuru na haki Kwa Watanzania, sio sifa mbaya unayojaribu kumhusisha nayo.
Ujinga siyo tusi ni kukosa elewawa jambo fufani"Watu wanadai katiba its about our life, RAIS anaita chokochoko, na sasa wameibuka na viongozi wa ajabu mfano kuna DC mjinga mjinga hapa ilemela aliita waandishi wa habari kuwaambia kuwa haruhusu mikutano ya hadhara wilayani kwangu. Wewe una wilaya yako?" @freemanmbowetz https://t.co/dCK06EfnJM
mbowe ni mwanasiasamalayamalaya mshenzi hana adabu"Watu wanadai katiba its about our life, RAIS anaita chokochoko, na sasa wameibuka na viongozi wa ajabu mfano kuna DC mjinga mjinga hapa ilemela aliita waandishi wa habari kuwaambia kuwa haruhusu mikutano ya hadhara wilayani kwangu. Wewe una wilaya yako?" @freemanmbowetz https://t.co/dCK06EfnJM
Amesema Ilemela ama Ikungi?DC mjinga mjinga hapa ilemela
sasa mbowe anauelewa gani form four zero?Ujinga siyo tusi ni kukosa elewawa jambo fufani
Anayetaka heshima awe wa kwanza kuilinda heshima . Tangu Mama aseme neno chokochoko. Kumeibuka dharau kwa watendaji na wateule kwa WaTz wengine.sasa hivi Mbowe anaweza hata kumuita DC mjinga na asifanywe kitu....hahahahahaha...kwahiyo tuendelee tu kuchekacheka dola na watendaji wake wanapovunjiwa heshima?... kuna mahala ukiwaacha sana watu huru huwa na tabia ya kuamini wanaweza kufanya chochote.
Panya sasa wametawala kweli kweliKwa hiyo hii ni timu furahia ukatili sio basi sawa,tutaishi nanyi hivyo hivyo kwani hapa ndio kwetu.