Mbowe audhibiti mdomo wa Tundu Lissu

Basi aanzishe chama chake ili akaongoze mapambano anayoyataka aone Kama atafanikiwa au kuungwa mkono
 
Lissu anasimamia maslahi ya Taifa.

Baadhi ya viongozi wa CHADEMA wanawaza ubunge zaidi wakati Lissu anawaza Katiba mpya kwanza mengine baadae
 
Umeweka namba ya simu ili iweje.
 
CHAMA DOLA KONGWE CCM KUTAKA KUAMBUKIZA TAMADUNI YAKE YA KUNYIMA UHURU WA MAWAZO.

CCM chama dola kongwe kina mila na destruri zake za ukiritimba, wakati pia CHADEMA Chama cha Demokrasia na Maendeleo wana utamaduni wao wa kidemokrasia huru inayowapa wanachama wake wanapoona mchakato bado haujaiva wanaruhusiwa kutoa mawazo yao kwa uhuru tofauti na chama dola CCM kilichozoea kuminya wanachama wake, bunge lake la chama kimoja na mabaraza ya madiwani yaliyowekwa kupitia uchafuzi wa chaguzi za 2020

Utamaduni wa CCM hauwezi kuwa ndiyo njia sahihi ya kufanya siasa na demokrasia, hivyo CCM wasitake kutoa miongozo vyama vingine vya kisiasa jinsi ya kutoa mawazo wakati mchakato wa katiba na maridhiano ukiendelea.
 
Lissu anasimamia maslahi ya Taifa.

Baadhi ya viongozi wa CHADEMA wanawaza ubunge zaidi wakati Lissu anawaza Katiba mpya kwanza mengine baadae
Lissu anasimamia maslahi yake binafsi ndio maana unaona Amekuwa akipigania Sana kulipwa mishahara na kiinua mgongo Cha ubunge wake,
 
CCM waoga sana, hawajazoea kuambiwa ukweli kuwa hawalipi madeni

 
CCM waoga sana, hawajazoea kuambiwa ukweli kuwa hawalipi madeni

Demokrasia iliyopo ndani ya CCM Ni kubwa Sana na ndio maana CCm inaendelea kuwepo madarakani,kwa kuwa watu wanajisikia amani kuwepo ndani ya CCM
 
Kwani lini nimekwambia natafuta kitu fulani ambacho unasema nimekosa na sipati, Mimi nipo kwa ajili ya Taifa langu na siyo maslahi yangu Binafsi
Kwani unataka mpaka uwaambie watu ndo wakujue? Ujinga, unafiki, werevu na uungwana wa mtu uko kwenye maneno ya midomo au kalamu yake..!!

Haiba yako na uandishi wako tu unajieleza mwenyewe unatafuta kitu kwa wenye madaraka ya kiserikali kama cheo au uteuzi wa nafasi fulani na au pesa kabisa. Kwani nani asiyezijua siasa za kiafrika na hususani za kitanzania bro..??

Tabia na mwenendo wako ni kama ya iliyokuwa ya Cyprian Musiba. Lakini yuko wapi sasa?

Yaani huyu bwana (Cyprian Musiba) alikuwa anazushia na kutukana watu hovyo kwa maandishi na mdomo wake kwa kivuli cha "uzalendo wa nchi" au "maslahi ya Taifa" kama unavyodai wewe hapa ili tu kuwafurahisha watawala aidha kwa malipo ya pesa cash au Kwa matarajio ya kupata upendeleo fulani wa uteuzi wa nafasi ya madaraka serikalini...

Hutapata chochote ndugu!!

Utashangaa majira na nyakati za kutafuta ubora wa maisha yako Kwa njia hii yanapita ukiwa mtupu kabisa..

You better use your precious time to do something profitable. Kutaka ule au utoke kimaisha kwa kutumia siasa ni sawa na kufanya betting. Utashangaa unajituma weeeeee kumtetea mwanasiasa fulani, lakini akawa hata hatambui uwepo wako...

Fanya uchangiaji wako ktk mijadala ya kisiasa ukiwa neutral na siyo uelekeo wako huo ulionao..!!
 
Umezoea siasa za kujipendekeza, hivyo ukikutana na mtu asiyejipendekeza unaona ni mtovu wa nidhamu. Hakuna kutumia lugha laini kwa majizi ya kura.

Cc: Paskali Mayalla
 
Ukiweza udhibiti wa wanakijani naye atamdhibiti🤔
 
Sio mnaa hivyo anaongea linaloonekana kama lilivyo,kwa ni juu ya covid 19,anaongopa🤔. katiba mpya hadi tuiome kwa macho yetu 🤔.Tume huru ya uchaguzi na sio ya uchafuzi,tuiome kwa macho yetu 🤔
 
Hii strategy ya CHADEMA safari hii itawatoa mimba changa. Mbowe hatamzuia chochote Lissu maana Hakuna Baya alilomwongelea.
 
Wewe binafsi unamheshimu Mbowe? Unatambua CHADEMA kama chama muhimu cha siasa Tanzania? Be consistent.

Bila shaka huna uwezo wa kuielewa CHADEMA, Lissu wala mfumo wa vyama vingi vya siasa nchini. Achana nao baki na propaganda za kumpamba SSH.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…