Tetesi: Mbowe aundiwa zengwe kuhusishwa na dhuluma ya ngono na wabunge viti maalum

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2012
Posts
4,572
Reaction score
26,885
Inayotrend kwenye mitandao ya kijamii ni kuhusu vijana wa mataga na ccm waamua kuigiza sauti ya mbowe na wabunge wa viti maalum kunyanyaswa kingono na mwenyekiti wa chama CHADEMA.

Mkakati huo unahusishwa vijana wa tiss, mataga na steve nyerere kwa kuigiza sauti ya mbowe na wale wabunge wa viti maalum ili kumuhusisha na dhuruna ya ngono na Mambo sasa akitarajiwa kumwita kwa mahojiano ikiwa na lengo la kumchafua kisisiasa kuelekea uchaguzi mkuu 2020.
 
mimi ni ccm lakini kuna mambo mengine yanazungumzwa kumhusu Mbowe unaona kama ni upuuzi tu,kwa jinsi huyo jamaa anavyowindwa na serikali sidhani kama tuhuma zinazosemwa juu yake huwa zina ukweli.kuanzia ya chacha wangwe mpaka haya yanayosemwa sasa,ina maana basi Mbowe ana akili kuliko vyombo vyetu vya usalama coz hawajapata ushahidi wowote wa kumtia hatiani hadi Leo?
me nadhani tupambane kwa hoja, haya ya kusingiziana hayana maana kivile.
 
Kwajinsi Mbowe anavyoshambuliwa, inamaana Jiwe hakuna cha maana alichofanya kwenye utawala wake kwa miaka 5?. Mfano, hapo ulipo Wilayani kwako kuna kumbukumbu yoyote ya maana inayooneka inayotokana na kodi alizokusanya Jiwe kwa takribani miaka 5 iliyopita ?
 
niko chattle nitaje??
 
Kashfa ya ngono huondoa viongozi nchi za dunia ya kwanza, kwa Afrika ni ufahari kuonekana unawanawake wengi.
 
mimi ni ccm lakini kuna mambo mengine yanazungumzwa kumhusu Mbowe unaona kama ni upuuzi tu,kwa jinsi huyo jamaa anavyowindwa na serikali sidhani kama tuhuma zinazosemwa juu yake huwa zina ukweli.kuanzia ya chacha wangwe mpaka haya yanayosemwa sasa,ina maana basi Mbowe ana akili kuliko vyombo vyetu vya usalama coz hawajapata ushahidi wowote wa kumtia hatiani hadi Leo?
me nadhani tupambane kwa hoja, haya ya kusingiziana hayana maana kivile.
agiza pili pili Manga hapo ulipo nakuja kulipa

Mkulima wa mahindi
 
Ufipa mnataka kupindua meza? Mwamba na Joyce Mukya walienda kupiga show Dubai?
 
mimi ni ccm lakini kuna mambo mengine yanazungumzwa kumhusu Mbowe unaona kama ni upuuzi tu,kwa jinsi huyo jamaa anavyowindwa na serikali sidhani kama tuhuma zinazosemwa juu yake huwa zina ukweli.kuanzia ya chacha wangwe mpaka haya yanayosemwa sasa,ina maana basi Mbowe ana akili kuliko vyombo vyetu vya usalama coz hawajapata ushahidi wowote wa kumtia hatiani hadi Leo?
me nadhani tupambane kwa hoja, haya ya kusingiziana hayana maana kivile.
Tangu lini ukawa ccm wewe acha kupotosha wewe ni chadema chama cha mbowe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani hao wabunge wa viti maalumu ni wanafunzi wa primary au secondary school?

Muuza bar ananyanyaswaje kingono kwa mfano!......kinyume na maumbile au?!!
yuko mmoja alipitiwa na Katambi baada ya kuachwa na mume wake , peleka ushauri kwa chama chako , wakileta upuuzi huu watadhalilika kuliko maelezo
 
Back
Top Bottom