Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Watashindana lakini hawatashindaInayotrend kwenye mitandao ya kijamii ni kuhusu vijana wa mataga na ccm waamua kuigiza sauti ya mbowe na wabunge wa viti maalum kunyanyaswa kingono na mwenyekiti wa chama CHADEMA.
Mkakati huo unahusishwa vijana wa tiss, mataga na steve nyerere kwa kuigiza sauti ya mbowe na wale wabunge wa viti maalum ili kumuhusisha na dhuruna ya ngono na Mambo sasa akitarajiwa kumwita kwa mahojiano ikiwa na lengo la kumchafua kisisiasa kuelekea uchaguzi mkuu 2020.
Jr[emoji769]