Tetesi: Mbowe aundiwa zengwe kuhusishwa na dhuluma ya ngono na wabunge viti maalum

mimi ni ccm lakini kuna mambo mengine yanazungumzwa kumhusu Mbowe unaona kama ni upuuzi tu,kwa jinsi huyo jamaa anavyowindwa na serikali sidhani kama tuhuma zinazosemwa juu yake huwa zina ukweli.kuanzia ya chacha wangwe mpaka haya yanayosemwa sasa,ina maana basi Mbowe ana akili kuliko vyombo vyetu vya usalama coz hawajapata ushahidi wowote wa kumtia hatiani hadi Leo?
me nadhani tupambane kwa hoja, haya ya kusingiziana hayana maana kivile.
Aisee umeandika point wapambane kwa hoja siyo kudharirishana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwajinsi Mbowe anavyoshambuliwa, inamaana Jiwe hakuna cha maana alichofanya kwenye utawala wake kwa miaka 5?. Mfano, hapo ulipo Wilayani kwako kuna kumbukumbu yoyote ya maana inayooneka inayotokana na kodi alizokusanya Jiwe kwa takribani miaka 5 iliyopita ?
Jpm sio size ya hawa manyumbu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mhe! Inamaana mbowe ndokawatowa bikira!🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
mimi ni ccm lakini kuna mambo mengine yanazungumzwa kumhusu Mbowe unaona kama ni upuuzi tu,kwa jinsi huyo jamaa anavyowindwa na serikali sidhani kama tuhuma zinazosemwa juu yake huwa zina ukweli.kuanzia ya chacha wangwe mpaka haya yanayosemwa sasa,ina maana basi Mbowe ana akili kuliko vyombo vyetu vya usalama coz hawajapata ushahidi wowote wa kumtia hatiani hadi Leo?
me nadhani tupambane kwa hoja, haya ya kusingiziana hayana maana kivile.
We CCM wapi wewe? Acha uongo.
 
Mara mauaji wa diwani ifakara mara ngono, si wamejenga madaraja na madege buana....wanaogopa nn sasa?
 
Inayotrend kwenye mitandao ya kijamii ni kuhusu vijana wa mataga na ccm waamua kuigiza sauti ya mbowe na wabunge wa viti maalum kunyanyaswa kingono na mwenyekiti wa chama CHADEMA.

Mkakati huo unahusishwa vijana wa tiss, mataga na steve nyerere kwa kuigiza sauti ya mbowe na wale wabunge wa viti maalum ili kumuhusisha na dhuruna ya ngono na Mambo sasa akitarajiwa kumwita kwa mahojiano ikiwa na lengo la kumchafua kisisiasa kuelekea uchaguzi mkuu 2020.
This won't do them to their betterment!Wawe makini.Kama wanataka kwenda waendapo na waende.That cheap politics haitawagomboa na ujinga wao.😎
 
Hizo tuhuma ni za kweli
Amezaa mpaka na.mbunge mke wa mtu
 
Inayotrend kwenye mitandao ya kijamii ni kuhusu vijana wa mataga na ccm waamua kuigiza sauti ya mbowe na wabunge wa viti maalum kunyanyaswa kingono na mwenyekiti wa chama CHADEMA.

Mkakati huo unahusishwa vijana wa tiss, mataga na steve nyerere kwa kuigiza sauti ya mbowe na wale wabunge wa viti maalum ili kumuhusisha na dhuruna ya ngono na Mambo sasa akitarajiwa kumwita kwa mahojiano ikiwa na lengo la kumchafua kisisiasa kuelekea uchaguzi mkuu 2020.
Kawadanganye wanasaccos wenzio!
 
CCM ni waovu sana na hiyo TISS yao. Hivi vyombo polis , TISS wapo kwa ajiri ya kuitumikia CCM na si Taifa. So sad
 
Hizo tuhuma ni za kweli
Amezaa mpaka na.mbunge mke wa mtu
katika waliojiuzulu hakuna mke wa mtu , taarifa zenu za kuzusha basi ziwe na ukweli hata wa kutengeneza basi , wanafiki wakubwa nyie !
 
Back
Top Bottom