Tetesi: Mbowe aundiwa zengwe kuhusishwa na dhuluma ya ngono na wabunge viti maalum

Tetesi: Mbowe aundiwa zengwe kuhusishwa na dhuluma ya ngono na wabunge viti maalum

Kwani hao wabunge wa viti maalumu ni wanafunzi wa primary au secondary school?

Muuza bar ananyanyaswaje kingono kwa mfano!......kinyume na maumbile au?!!

CCM naichukia ila Rais namkubali sana sasa sijui nitamtengaje na hili dubuwasha, hawa wanaounda Zengwe la Mbowe kuwanyanyasa kingono maana yake walikuwa wanabakwa na Mhe au shida ni nini?
 
CCM ya maana ishapoteaga, ile ya kina Mzee Warioba, Salim, Butiku na akina Generali Ulimwengu, hii ya sasa ni ya wasanii watupu.
 
Vijana tamaa zinawaponza sana sasa steve nyerere anashndwa kuelewa kwamba hii kitu pia ni risk kwake?
Kwanza Steve Nyerere angejua kuwa hao CCM wanavyo mtumia wanaweza kumuua wakipata hisia kuwa siku moja anaweza toa siri angefikiri mara mbilimbli.
CCM kama wameweza kumpa sumu makamu mwenyekiti wao, yaani #2 katika chama watashindwa kumpa nani mwingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
katika waliojiuzulu hakuna mke wa mtu , taarifa zenu za kuzusha basi ziwe na ukweli hata wa kutengeneza basi , wanafiki wakubwa nyie !
Mke wa mtu atajiuzulu vipi wakati amemzalia mzee?hao hawaachani hata chadema ikifa
 
Back
Top Bottom