mbenge
JF-Expert Member
- May 15, 2019
- 4,864
- 10,483
Kama ni mahusiano ya kimapenzi na kashfa za uzinzi kwa wenye ndoa, kwa hakika CCM hawapo salama ktk jambo hili. Tutegemee kushuhudia shuhuda luluki za viongozi wa kitaifa kuzaa ama na wake za watu au pia vimada wao.Inayotrend kwenye mitandao ya kijamii ni kuhusu vijana wa mataga na ccm waamua kuigiza sauti ya mbowe na wabunge wa viti maalum kunyanyaswa kingono na mwenyekiti wa chama CHADEMA.
Mkakati huo unahusishwa vijana wa tiss, mataga na steve nyerere kwa kuigiza sauti ya mbowe na wale wabunge wa viti maalum ili kumuhusisha na dhuruna ya ngono na Mambo sasa akitarajiwa kumwita kwa mahojiano ikiwa na lengo la kumchafua kisisiasa kuelekea uchaguzi mkuu 2020.
Sent using Jamii Forums mobile app