Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
niko chattle nitaje??Kwajinsi Mbowe anavyoshambuliwa, inamaana Jiwe hakuna cha maana alichofanya kwenye utawala wake kwa miaka 5?. Mfano, hapo ulipo Wilayani kwako kuna kumbukumbu yoyote ya maana inayooneka inayotokana na kodi alizokusanya Jiwe kwa takribani miaka 5 iliyopita ?
alitoa tahadhari lakini
agiza pili pili Manga hapo ulipo nakuja kulipamimi ni ccm lakini kuna mambo mengine yanazungumzwa kumhusu Mbowe unaona kama ni upuuzi tu,kwa jinsi huyo jamaa anavyowindwa na serikali sidhani kama tuhuma zinazosemwa juu yake huwa zina ukweli.kuanzia ya chacha wangwe mpaka haya yanayosemwa sasa,ina maana basi Mbowe ana akili kuliko vyombo vyetu vya usalama coz hawajapata ushahidi wowote wa kumtia hatiani hadi Leo?
me nadhani tupambane kwa hoja, haya ya kusingiziana hayana maana kivile.
ilaa we jamaaaaaaagiza pili pili Manga hapo ulipo nakuja kulipa
Mkulima wa mahindi
Tangu lini ukawa ccm wewe acha kupotosha wewe ni chadema chama cha mbowemimi ni ccm lakini kuna mambo mengine yanazungumzwa kumhusu Mbowe unaona kama ni upuuzi tu,kwa jinsi huyo jamaa anavyowindwa na serikali sidhani kama tuhuma zinazosemwa juu yake huwa zina ukweli.kuanzia ya chacha wangwe mpaka haya yanayosemwa sasa,ina maana basi Mbowe ana akili kuliko vyombo vyetu vya usalama coz hawajapata ushahidi wowote wa kumtia hatiani hadi Leo?
me nadhani tupambane kwa hoja, haya ya kusingiziana hayana maana kivile.
yuko mmoja alipitiwa na Katambi baada ya kuachwa na mume wake , peleka ushauri kwa chama chako , wakileta upuuzi huu watadhalilika kuliko maelezoKwani hao wabunge wa viti maalumu ni wanafunzi wa primary au secondary school?
Muuza bar ananyanyaswaje kingono kwa mfano!......kinyume na maumbile au?!!
Hahaa...Hata mimi niliye huku karibu na Msumbiji nayasikia maendeleo ya Chattle.niko chattle nitaje??
Ni risk manataka kumuuwa kama Steve nyerereVijana tamaa zinawaponza sana sasa steve nyerere anashndwa kuelewa kwamba hii kitu pia ni risk kwake?