KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
LOoo!Kwani hao wabunge wa viti maalumu ni wanafunzi wa primary au secondary school?
Muuza bar ananyanyaswaje kingono kwa mfano!......kinyume na maumbile au?!!
Aisee umeandika point wapambane kwa hoja siyo kudharirishanamimi ni ccm lakini kuna mambo mengine yanazungumzwa kumhusu Mbowe unaona kama ni upuuzi tu,kwa jinsi huyo jamaa anavyowindwa na serikali sidhani kama tuhuma zinazosemwa juu yake huwa zina ukweli.kuanzia ya chacha wangwe mpaka haya yanayosemwa sasa,ina maana basi Mbowe ana akili kuliko vyombo vyetu vya usalama coz hawajapata ushahidi wowote wa kumtia hatiani hadi Leo?
me nadhani tupambane kwa hoja, haya ya kusingiziana hayana maana kivile.
fuatilia comments zangu kwenye jukwaa la siasa.Tangu lini ukawa ccm wewe acha kupotosha wewe ni chadema chama cha mbowe
Sent using Jamii Forums mobile app
Jpm sio size ya hawa manyumbuKwajinsi Mbowe anavyoshambuliwa, inamaana Jiwe hakuna cha maana alichofanya kwenye utawala wake kwa miaka 5?. Mfano, hapo ulipo Wilayani kwako kuna kumbukumbu yoyote ya maana inayooneka inayotokana na kodi alizokusanya Jiwe kwa takribani miaka 5 iliyopita ?
huku ni balaaaa na trump anakuja mwakaniHahaa...Hata mimi niliye huku karibu na Msumbiji nayasikia maendeleo ya Chattle.
We CCM wapi wewe? Acha uongo.mimi ni ccm lakini kuna mambo mengine yanazungumzwa kumhusu Mbowe unaona kama ni upuuzi tu,kwa jinsi huyo jamaa anavyowindwa na serikali sidhani kama tuhuma zinazosemwa juu yake huwa zina ukweli.kuanzia ya chacha wangwe mpaka haya yanayosemwa sasa,ina maana basi Mbowe ana akili kuliko vyombo vyetu vya usalama coz hawajapata ushahidi wowote wa kumtia hatiani hadi Leo?
me nadhani tupambane kwa hoja, haya ya kusingiziana hayana maana kivile.
Wewe ni dogo wa mmu akili yako na mbowe zinafanana na nyote mtakuwa mmeishia la pilifuatilia comments zangu kwenye jukwaa la siasa.
💩💩💩💩Wewe ni dogo wa mmu akili yako na mbowe zinafanana na nyote mtakuwa mmeishia la pili
Sent using Jamii Forums mobile app
This won't do them to their betterment!Wawe makini.Kama wanataka kwenda waendapo na waende.That cheap politics haitawagomboa na ujinga wao.😎Inayotrend kwenye mitandao ya kijamii ni kuhusu vijana wa mataga na ccm waamua kuigiza sauti ya mbowe na wabunge wa viti maalum kunyanyaswa kingono na mwenyekiti wa chama CHADEMA.
Mkakati huo unahusishwa vijana wa tiss, mataga na steve nyerere kwa kuigiza sauti ya mbowe na wale wabunge wa viti maalum ili kumuhusisha na dhuruna ya ngono na Mambo sasa akitarajiwa kumwita kwa mahojiano ikiwa na lengo la kumchafua kisisiasa kuelekea uchaguzi mkuu 2020.
baadhi ya wasanii wazalendo wameanza kuvujisha taarifa na wengine wameapa kujiripuaKigogo alisema jana na leo yametimia!
Kawadanganye wanasaccos wenzio!Inayotrend kwenye mitandao ya kijamii ni kuhusu vijana wa mataga na ccm waamua kuigiza sauti ya mbowe na wabunge wa viti maalum kunyanyaswa kingono na mwenyekiti wa chama CHADEMA.
Mkakati huo unahusishwa vijana wa tiss, mataga na steve nyerere kwa kuigiza sauti ya mbowe na wale wabunge wa viti maalum ili kumuhusisha na dhuruna ya ngono na Mambo sasa akitarajiwa kumwita kwa mahojiano ikiwa na lengo la kumchafua kisisiasa kuelekea uchaguzi mkuu 2020.
katika waliojiuzulu hakuna mke wa mtu , taarifa zenu za kuzusha basi ziwe na ukweli hata wa kutengeneza basi , wanafiki wakubwa nyie !Hizo tuhuma ni za kweli
Amezaa mpaka na.mbunge mke wa mtu
Tiss wanaookotwa uvccm unategemea wafanye nini ?CCM ni waovu sana na hiyo TISS yao. Hivi vyombo polis , TISS wapo kwa ajiri ya kuitumikia CCM na si Taifa. So sad