Tetesi: Mbowe aundiwa zengwe kuhusishwa na dhuluma ya ngono na wabunge viti maalum

Watashindana lakini hawatashinda

Jr[emoji769]
 
Mungu ndio muamuzi wa yote ila wakumbike Malipo ni hapa hapa dunia japo yatachelewa ila yapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunahasira zetu na uchaguzi yaani kwenye sanduku la kura ndio silaha yetu ya maumivu yote haya, wacha waigize kila rangi
 
Vijana tamaa zinawaponza sana sasa steve nyerere anashndwa kuelewa kwamba hii kitu pia ni risk kwake?
Itamgharimu sana leo wanaona wako salama,wanasahau kuwa siku hazigandi na hao wanaowatuma wataondoka, na kila mtu atabeba msalaba wake
 
Hakuna watu wajinga kama wale wabunge wawili waliokaa mbele ya kamera na kusoma karatasi waliyoandikiwa na CCM! Kama ingekuwa ni kweli yule msomaji angesema alivyonyanyaswa na si kuonesha walikuwa wanakusanywa kwenye chumba na kuanza kunyanyaswa! Wamejiaibisha wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…