CCM naichukia ila Rais namkubali sana sasa sijui nitamtengaje na hili dubuwasha, hawa wanaounda Zengwe la Mbowe kuwanyanyasa kingono maana yake walikuwa wanabakwa na Mhe au shida ni nini?
Kwanza Steve Nyerere angejua kuwa hao CCM wanavyo mtumia wanaweza kumuua wakipata hisia kuwa siku moja anaweza toa siri angefikiri mara mbilimbli.
CCM kama wameweza kumpa sumu makamu mwenyekiti wao, yaani #2 katika chama watashindwa kumpa nani mwingine?