Mbowe awakimbia wana habari: Clouds TV wamtafuta bila mafanikio, asemekana kujificha!

Sijawahi kumuona Mbowe kwenye mahojiano yoyote, au mdahalo wowote. Huu ni udhaifu mkubwa kwa kiongozi wa umma. Na sio Mbowe tu, hata Magufuli sijawahi kumuona katika mdahalo wowote, na hapendi kuhojiwa. Ukiona kiongozi yoyote hataki midahalo ujue huyo ni tatizo.
 
Walitaka aende studio na Magongo?
 
Siungi mkono mbowe kuhojiwa na waandishi duni wa clouds media
 
Siungi mkono mbowe kuhojiwa na waandishi duni wa clouds media

Anaweza asihojiwe na clouds hayo ni maamuzi yake, lakini sijawahi kumuona kwenye mdahalo wowote. Mimi binafsi siamini kiongozi wa umma asiyeshiriki kwenye midahalo. Cdm ninayoijua mimi haikuwa na utamaduni wa kukwepa midahalo, tabia hii nilianza kuiona kwa lowassa uchaguzi uliopita. Hilo roho lisikaribishwe ndani ya cdm, kama kweli viongozi wetu wana uwezo.
 
Is this a topic to get it here? Stupid!
 
Clouds wako kishoga sana
 
Wanafaki hao 360!
 
2005 alishiriki sana midahalo
 
Mbowe nae ana roho,mlitaka ajibu swali la mintego ili asweke gerezani?
 
Vyombo vyote vya habari Tanzania vinaogopa kuwahoji wapinzani kwa kuhofia kutekwa waandishi wake , juzi StarTv ilizimwa hewani baada ya nondo za John Pambalu kuizidi kimo serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…