Mbowe awakimbia wana habari: Clouds TV wamtafuta bila mafanikio, asemekana kujificha!

Amsake Lijualikali kama kashamalizana na baba mkwe wake!! Hawa wana Info zote anazozitaka!!
 
Mtia nia wa Urais serious hawezi kuacha mahojiano na chombo chochote cha habari labda kama kuna uongo ndani yake
 
Vyombo vyote vya habari Tanzania vinaogopa kuwahoji wapinzani kwa kuhofia kutekwa waandishi wake , juzi StarTv ilizimwa hewani baada ya nondo za John Pambalu kuizidi kimo serikali

Hili ni kweli, na hata wakiwahoji wapinzani wanawawekea mazingira ya kutokufunguka watakavyo.
 
Asante.
 
Huo unao fikiria ni upungufu wa akili. Mbowe ameenza kunywa pombe kabla baba yako hajaoa. Na haku wahi kuyumba.. Tupe ushahidi wa huo upuuzi wako ulio andika hapa.
Namjua vizuri mbowe kuliko wewe unae mkariri Ni kweli hajaanza pombe Leo toka Ila hakuwa mlevi wa kupitiliza Kama alivyo Sasa,kwa Sasa sio mnywaji tu Ni chapombe
 
K-VANT...
 
Hivi vijamaa vya 360 hamna kitu humo....Mh. Mbowe akiitishaga press wala havifanyi coverage yeyote... viogaa kisa ugali.
 
Clouds media is a junk of waste.. Level yao ni akina amber ruty
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Acheni kujitetea, clouds inasikilizwa na watanzania wengi sana ambao ndio hao mnaotarajia kwenda kuwaomba kura!
Sasa kwanini anaitwa kwenye kipindi anakataa?

Jibu ni kwamba anaogopa kuulizwa kilichotokea dodoma.
Aibu sana hii!

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Namjua vizuri mbowe kuliko wewe unae mkariri Ni kweli hajaanza pombe Leo toka Ila hakuwa mlevi wa kupitiliza Kama alivyo Sasa,kwa Sasa sio mnywaji tu Ni chapombe
Tuwekee proof Mangi. Ila kwa tasrifa namjua zaidi ya umjuavyo
 
Unaongopa Rais Magufuli aliongea na Waandishi wa Habari mwanzo kabisa wa utawala wake hadi Pascal Mayalla akamuuliza swali. Acha uongo mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…