YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Mbowe alipotoka kumzika kaka yake aliyekufa kwa Corona alitakiwa kujiweka Lockdown kunusuru wengine badala ya kuendelea kuzurura kwenye mikusanyiko ya watu.
Corona inaonyesha imepiga kambi kwenye familia ya Mbowe sababu mwanawe Mbowe aliumwa Corona kwa mujibu wa Mbowe mwenyewe.
Baada ya hapo Mbowe alienda Kenya kwenye uzinduzi wa kitabu cha Tundu Lisu .Kenya kumejaa COrona kama yote,Aliporudi toka Kenya hakukaa akatangaza kuwa kaka yake kafariki kwa Corona HATUJUI NANI ALIMPA HIYO CORONA TETESI zipo kuwa yawezekana Mbowe alipoenda kumsalimia alikuja nayo toka Kenya akamwambukiza kaka yake.
Ushauri wangu kwake aache kuzurura aji lock down kuepusha madhara kwa wengine sababu katokea kenya kwenye Corona na katokea kuzika mtu mwenye Corona.
Wote mliogiusana na Mbowe au kuwa karibu naye nendeni mkapime Corona na kajiwekeni Lockdown kwa gharama zenu.