YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
- Thread starter
- #41
Marehemu kaka yake Corona aiitoa wapi kama sio ndani ya familia?Ulimpima wewe ukajua kuwa ana korona? Wewe ni mke wake?
Mtu akitoka kuzika mwenye Corona inabidi aogopwe kuliko Corona aweza ambukiza na kuua ukoo mzima na kongamano lote LA ChademaUlimpima wewe ukajua kuwa ana korona? Wewe ni mke wake?
Yeyote aliyekuwa karibu naye huko kwenye ukoo au kongamano akiona dalili za Corona awahi kupima na tiba na ajue alikoitoa