#COVID19 Mbowe baaada ya kutoka mazishi ya kumzika kaka yake aliyekufa kwa Corona alitakiwa ajiweke Lockdown kuepuka kuambukiza wengine

#COVID19 Mbowe baaada ya kutoka mazishi ya kumzika kaka yake aliyekufa kwa Corona alitakiwa ajiweke Lockdown kuepuka kuambukiza wengine

Ulimpima wewe ukajua kuwa ana korona? Wewe ni mke wake?
Marehemu kaka yake Corona aiitoa wapi kama sio ndani ya familia?
Ulimpima wewe ukajua kuwa ana korona? Wewe ni mke wake?
Mtu akitoka kuzika mwenye Corona inabidi aogopwe kuliko Corona aweza ambukiza na kuua ukoo mzima na kongamano lote LA Chadema

Yeyote aliyekuwa karibu naye huko kwenye ukoo au kongamano akiona dalili za Corona awahi kupima na tiba na ajue alikoitoa
 
Shida ni kuwa watu hawako well informed juu ya kirusi korona na namna bora za kumwepuka.
Kinachofanyika hapa Tz ni siasa na kuenzi legacy.
Mtoa mada yupo kisiasa ,yaani ccm vs chadema.

Nakutakieni battle njema.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mwanaye alikuwa na Korona mwanzoni mwa 2020 iweje Korona iwe active hadi June 2021?
Yeye Mbowe asiumwe Korona ila awe na uwezo wa kuambukiza wengine tu.?
Mleta mada tafuta hata mume msafisha vidonda awe anakueleza namna haya magonjwa yanavyoambuliza..!!
Ametoka Kenya Karibuni kwenye Corona aweza kuwa kaambukiza kaka yake
 
Ametoka Kenya Karibuni kwenye Corona aweza kuwa kaambukiza kaka yake
Asimwambukize mke wake wanayelala naye kitamda kimoja amuambukize kaka yake?
Asimwambukize dereva wake aliyempokea airport amwambukize kaka yake?
Tumia akili aisee sio unaleta ushabiki maandazi.!!
 
Hakutakiwa asubiri mtu amtake aji Lock down
Kama mtu responsible kwenye jamii yeye mwenyewe alitakiwa kuchukua hiyo hatua bila mtu kumwambia

Kama hataki niwatake watu wakae naye mbali bomu hilo
Mbowe ni great msanii, kama hufahamu kinachoendelea kwenye akili ya mbowe unaweza dhani ni mtu makini sana.

Kinachofanyika kwa issue ya corona na mbowe ni usanii wa hali ya juu sana; Mbowe anatangaza kuwepo kwa corona kisiasa alafu familia yake inateketea alafu hatumuoni akichukua hatua stahiki kuhusi huo ugonjwa.

Mbowe anataka kutueleza nini kuhusu corona?, Binafsi namuona Mbowe akiwa mmoja wa wenye maslahi na corona. Anatakiwa kuwa mfano halisi kwa wananchi badala ya kuwa mpiganizi asiye na kibali kupambana.
 
Asimwambukize mke wake wanayelala naye kitamda kimoja amuambukize kaka yake?
Asimwambukize dereva wake aliyempokea airport amwambukize kaka yake?
Tumia akili aisee sio unaleta ushabiki maandazi.!!
Anao wengi unaongelea yup? Umewaulizia wote hali zao?
 
Marehemu kaka yake Corona aiitoa wapi kama sio ndani ya familia?

Mtu akitoka kuzika mwenye Corona inabidi aogopwe kuliko Corona aweza ambukiza na kuua ukoo mzima na kongamano lote LA Chadema

Yeyote aliyekuwa karibu naye huko kwenye ukoo au kongamano akiona dalili za Corona awahi kupima na tiba na ajue alikoitoa
Alikuwa nae karibu kwani ni mke wake? Wale waliokwenda kwenye mazishi chattle mliwapiga karantini?
 
Alikuwa nae karibu kwani ni mke wake? Wale waliokwenda kwenye mazishi chattle mliwapiga karantini?
Magufuli hakufa kwa Corona ndio maana haikutangazwa Mbowe alitangaza kwa kinywa chake kuwa mwanawe anaumwa Corona na kaka yake kafa kwa Corona Ina maana Corona imepiga kambi nyumbani na kwenye ukoo wa Mbowe nimekuonya ukiwa karibu naye ikikudaka usiseme hukuonywa utajijua
 
Mjanja yule alishapiga chanjo siku nyingi.
 
Back
Top Bottom