#COVID19 Mbowe baaada ya kutoka mazishi ya kumzika kaka yake aliyekufa kwa Corona alitakiwa ajiweke Lockdown kuepuka kuambukiza wengine

Two wrongs don't make it right

Kila aliyekua exposed ni lazima akinge wengine

No exception
Mmetumia Polisi imeshindikana,hili la korona ndo kabisa mnaaibika mapema, UVCCM hakuna wenye akili za kujenga hoja
 
Umesema "alitakiwa" ajiweke lockdown..
ni nani aliyemtaka yeye afanye hivyo?

familia ngapi zimepoteza wapendwa wao kwa corona na hazijajilok down?

Kiongozi wa mfano. Afanye kama alivyoondoka bungeni kwenda kujilockdown
 
Mkuu siyo lockdown..... Sema alitakiwa kujiisolate.

Hata hivyo isolation inafanya kama alikuwa directed in contact. Sasa hilo hujathibitisha zaidi ya kupiga lamli tu. Pia kwa mtu aliyechanjwa kama Mbawe hauhitaji kuwa isolated unless ameonesha signs za ugonjwa....!!
Kujiisolate= Kujitenga
 
Waliomzika jiwe walikaa lokodauni siku ngapi
Mwahiyo msimamo wa CCM na CHAGGADOMO kuhusu CORONA unafanana?

Hii nchinina wapiga kabobo wengi sana.

Kelele zote za Chadema kuhusu CORONA ni siasa tu, ilimradi wako tofauti na CCM lakini matendo yao ni yale yale.
 
Si ajabu kuna watu wamekupongeza kwa huu ujinga. Eti Mbowe alitakiwa ajiweke lockdown.. usilazimishe kutumia lugha usiyoimudu.
 
Kwa nini mnamuogopa sana Mbowe?
UVCCM ni 🚮🚮
Nawahurumia Chadema na ukoo wa Mbowe Mtoto wa Mbowe kaumwa Corona kaka yake kafa kwa Corona yeye Mbowe Kaenda kuzika mwenye Corona anarudi anendelea kuzurura badala ya kuji lock down. UKOO wakae wamtie pingu wamuweke lock down kwa nguvu asije ambukiza ukoo Corona ukoo wa Mbowe ukaisha
 
Chuki dhidi ya mtu ambaye hata hakujui inakuumiza wewe mwenyewe. Acid uumiza chombo ambacho imewekwa. Hivyo hivyo chuki yako. Ukiendelea nayo itakuuwa. Haitomuua Mbowe. Itakuua wewe. Taratibu gani hizo za kiafya unaongelea? Za UVCCM? Chuki ya aina hiyo hiyo ilimuua mtu tarehe 17 March 2021.
Mbowe alipotoka kumzika kaka yake aliyekufa kwa Corona alitakiwa kujiweka Lockdown kunusuru wengine badala ya kuendelea kuzurura kwenye mikusanyiko ya watu.

Corona inaonyesha imepiga kambi kwenye familia ya Mbowe sababu mwanawe Mbowe aliumwa Corona kwa mujibu wa Mbowe mwenyewe.

Baada ya hapo Mbowe alienda Kenya kwenye uzinduzi wa kitabu cha Tundu Lisu .Kenya kumejaa COrona kama yote,Aliporudi toka Kenya hakukaa akatangaza kuwa kaka yake kafariki kwa Corona HATUJUI NANI ALIMPA HIYO CORONA TETESI zipo kuwa yawezekana Mbowe alipoenda kumsalimia alikuja nayo toka Kenya akamwambukiza kaka yake.

Ushauri wangu kwake aache kuzurura aji lock down kuepusha madhara kwa wengine sababu katokea kenya kwenye Corona na katokea kuzika mtu mwenye Corona.

Wote mliogiusana na Mbowe au kuwa karibu naye nendeni mkapime Corona na kajiwekeni Lockdown kwa gharama zenu.
 
Mbowe amepata chanjo...
Mbowe anavaa barakoa..
Anachukua tahadhari kuliko hata wewe...
KWANI KUNA UCHAGUZI UNAKUJA UMEANZA KAMPENI!!!
ACHA SIASA KWENYE MAMBO MUHIMU.
 
Chuki dhidi ya mtu ambaye hata hakujui inakuumiza wewe mwenyewe. Acid uumiza chombo ambacho imewekwa. Hivyo hivyo chuki yako. Ukiendelea nayo itakuuwa. Haitomuua Mbowe. Itakuua wewe. Taratibu gani hizo za kiafya unaongelea? Za UVCCM? Chuki ya aina hiyo hiyo ilimuua mtu tarehe 17 March 2021.
Atulie Corona yawezekana kujaa ukooni kwake yeye ndie chanzo kwa kuzurura kwake ukoo uchukue hatua dhidi yake sababu Chadema uwezo huo hawana
 
Baada ya hapo Mbowe alienda Kenya kwenye uzinduzi wa kitabu cha Tundu Lisu .Kenya kumejaa COrona kama yote,Aliporudi toka Kenya hakukaa akatangaza kuwa kaka yake kafariki kwa Corona HATUJUI NANI ALIMPA HIYO CORONA TETESI zipo kuwa yawezekana Mbowe alipoenda kumsalimia alikuja nayo toka Kenya akamwambukiza kaka yake.
mbowe ni muuaji kama walivyo wauaji wengine ila bado anazurura kuendeleza mauaji yake na bado watu wanamshangilia kweli?????
 
Mbona mama yenu kutwa kigulu na njia na hajilokiduani?
 
Mbowe alipotoka kumzika kaka yake aliyekufa kwa Corona alitakiwa kujiweka Lockdown kunusuru wengine badala ya kuendelea kuzurura kwenye mikusanyiko ya watu.

Corona inaonyesha imepiga kambi kwenye familia ya Mbowe sababu mwanawe Mbowe aliumwa Corona kwa mujibu wa Mbowe mwenyewe.

Baada ya hapo Mbowe alienda Kenya kwenye uzinduzi wa kitabu cha Tundu Lisu .Kenya kumejaa COrona kama yote,Aliporudi toka Kenya hakukaa akatangaza kuwa kaka yake kafariki kwa Corona HATUJUI NANI ALIMPA HIYO CORONA TETESI zipo kuwa yawezekana Mbowe alipoenda kumsalimia alikuja nayo toka Kenya akamwambukiza kaka yake.

Ushauri wangu kwake aache kuzurura aji lock down kuepusha madhara kwa wengine sababu katokea kenya kwenye Corona na katokea kuzika mtu mwenye Corona.

Wote mliogiusana na Mbowe au kuwa karibu naye nendeni mkapime Corona na kajiwekeni Lockdown kwa gharama zenu.
Ulimpima wewe ukajua kuwa ana korona? Wewe ni mke wake?
 
Jamaa anaishi kimagirini sana.
 
Mwanaye alikuwa na Korona mwanzoni mwa 2020 iweje Korona iwe active hadi June 2021?
Yeye Mbowe asiumwe Korona ila awe na uwezo wa kuambukiza wengine tu.?
Mleta mada tafuta hata mume msafisha vidonda awe anakueleza namna haya magonjwa yanavyoambuliza..!!
 
Back
Top Bottom