Two wrongs don't make it rightUmesema "alitakiwa" ajiweke lockdown..
ni nani aliyemtaka yeye afanye hivyo?
familia ngapi zimepoteza wapendwa wao kwa corona na hazijajilok down?
Mmetumia Polisi imeshindikana,hili la korona ndo kabisa mnaaibika mapema, UVCCM hakuna wenye akili za kujenga hojaTwo wrongs don't make it right
Kila aliyekua exposed ni lazima akinge wengine
No exception
Umesema "alitakiwa" ajiweke lockdown..
ni nani aliyemtaka yeye afanye hivyo?
familia ngapi zimepoteza wapendwa wao kwa corona na hazijajilok down?
Kujiisolate= KujitengaMkuu siyo lockdown..... Sema alitakiwa kujiisolate.
Hata hivyo isolation inafanya kama alikuwa directed in contact. Sasa hilo hujathibitisha zaidi ya kupiga lamli tu. Pia kwa mtu aliyechanjwa kama Mbawe hauhitaji kuwa isolated unless ameonesha signs za ugonjwa....!!
Mwahiyo msimamo wa CCM na CHAGGADOMO kuhusu CORONA unafanana?Waliomzika jiwe walikaa lokodauni siku ngapi
Nawahurumia Chadema na ukoo wa Mbowe Mtoto wa Mbowe kaumwa Corona kaka yake kafa kwa Corona yeye Mbowe Kaenda kuzika mwenye Corona anarudi anendelea kuzurura badala ya kuji lock down. UKOO wakae wamtie pingu wamuweke lock down kwa nguvu asije ambukiza ukoo Corona ukoo wa Mbowe ukaishaKwa nini mnamuogopa sana Mbowe?
UVCCM ni 🚮🚮
Mbowe alipotoka kumzika kaka yake aliyekufa kwa Corona alitakiwa kujiweka Lockdown kunusuru wengine badala ya kuendelea kuzurura kwenye mikusanyiko ya watu.
Corona inaonyesha imepiga kambi kwenye familia ya Mbowe sababu mwanawe Mbowe aliumwa Corona kwa mujibu wa Mbowe mwenyewe.
Baada ya hapo Mbowe alienda Kenya kwenye uzinduzi wa kitabu cha Tundu Lisu .Kenya kumejaa COrona kama yote,Aliporudi toka Kenya hakukaa akatangaza kuwa kaka yake kafariki kwa Corona HATUJUI NANI ALIMPA HIYO CORONA TETESI zipo kuwa yawezekana Mbowe alipoenda kumsalimia alikuja nayo toka Kenya akamwambukiza kaka yake.
Ushauri wangu kwake aache kuzurura aji lock down kuepusha madhara kwa wengine sababu katokea kenya kwenye Corona na katokea kuzika mtu mwenye Corona.
Wote mliogiusana na Mbowe au kuwa karibu naye nendeni mkapime Corona na kajiwekeni Lockdown kwa gharama zenu.
Mbowe amepata chanjo...Mbowe alipotoka kumzika kaka yake aliyekufa kwa Corona alitakiwa kujiweka Lockdown kunusuru wengine badala ya kuendelea kuzurura kwenye mikusanyiko ya watu.
Corona inaonyesha imepiga kambi kwenye familia ya Mbowe sababu mwanawe Mbowe aliumwa Corona kwa mujibu wa Mbowe mwenyewe.
Baada ya hapo Mbowe alienda Kenya kwenye uzinduzi wa kitabu cha Tundu Lisu .Kenya kumejaa COrona kama yote,Aliporudi toka Kenya hakukaa akatangaza kuwa kaka yake kafariki kwa Corona HATUJUI NANI ALIMPA HIYO CORONA TETESI zipo kuwa yawezekana Mbowe alipoenda kumsalimia alikuja nayo toka Kenya akamwambukiza kaka yake.
Ushauri wangu kwake aache kuzurura aji lock down kuepusha madhara kwa wengine sababu katokea kenya kwenye Corona na katokea kuzika mtu mwenye Corona.
Wote mliogiusana na Mbowe au kuwa karibu naye nendeni mkapime Corona na kajiwekeni Lockdown kwa gharama zenu.
Atulie Corona yawezekana kujaa ukooni kwake yeye ndie chanzo kwa kuzurura kwake ukoo uchukue hatua dhidi yake sababu Chadema uwezo huo hawanaChuki dhidi ya mtu ambaye hata hakujui inakuumiza wewe mwenyewe. Acid uumiza chombo ambacho imewekwa. Hivyo hivyo chuki yako. Ukiendelea nayo itakuuwa. Haitomuua Mbowe. Itakuua wewe. Taratibu gani hizo za kiafya unaongelea? Za UVCCM? Chuki ya aina hiyo hiyo ilimuua mtu tarehe 17 March 2021.
mbowe ni muuaji kama walivyo wauaji wengine ila bado anazurura kuendeleza mauaji yake na bado watu wanamshangilia kweli?????Baada ya hapo Mbowe alienda Kenya kwenye uzinduzi wa kitabu cha Tundu Lisu .Kenya kumejaa COrona kama yote,Aliporudi toka Kenya hakukaa akatangaza kuwa kaka yake kafariki kwa Corona HATUJUI NANI ALIMPA HIYO CORONA TETESI zipo kuwa yawezekana Mbowe alipoenda kumsalimia alikuja nayo toka Kenya akamwambukiza kaka yake.
Ulimpima wewe ukajua kuwa ana korona? Wewe ni mke wake?Mbowe alipotoka kumzika kaka yake aliyekufa kwa Corona alitakiwa kujiweka Lockdown kunusuru wengine badala ya kuendelea kuzurura kwenye mikusanyiko ya watu.
Corona inaonyesha imepiga kambi kwenye familia ya Mbowe sababu mwanawe Mbowe aliumwa Corona kwa mujibu wa Mbowe mwenyewe.
Baada ya hapo Mbowe alienda Kenya kwenye uzinduzi wa kitabu cha Tundu Lisu .Kenya kumejaa COrona kama yote,Aliporudi toka Kenya hakukaa akatangaza kuwa kaka yake kafariki kwa Corona HATUJUI NANI ALIMPA HIYO CORONA TETESI zipo kuwa yawezekana Mbowe alipoenda kumsalimia alikuja nayo toka Kenya akamwambukiza kaka yake.
Ushauri wangu kwake aache kuzurura aji lock down kuepusha madhara kwa wengine sababu katokea kenya kwenye Corona na katokea kuzika mtu mwenye Corona.
Wote mliogiusana na Mbowe au kuwa karibu naye nendeni mkapime Corona na kajiwekeni Lockdown kwa gharama zenu.
Jamaa anaishi kimagirini sana.Mbowe alipotoka kumzika kaka yake aliyekufa kwa Corona alitakiwa kujiweka Lockdown kunusuru wengine badala ya kuendelea kuzurura kwenye mikusanyiko ya watu.
Corona inaonyesha imepiga kambi kwenye familia ya Mbowe sababu mwanawe Mbowe aliumwa Corona kwa mujibu wa Mbowe mwenyewe.
Baada ya hapo Mbowe alienda Kenya kwenye uzinduzi wa kitabu cha Tundu Lisu .Kenya kumejaa COrona kama yote,Aliporudi toka Kenya hakukaa akatangaza kuwa kaka yake kafariki kwa Corona HATUJUI NANI ALIMPA HIYO CORONA TETESI zipo kuwa yawezekana Mbowe alipoenda kumsalimia alikuja nayo toka Kenya akamwambukiza kaka yake.
Ushauri wangu kwake aache kuzurura aji lock down kuepusha madhara kwa wengine sababu katokea kenya kwenye Corona na katokea kuzika mtu mwenye Corona.
Wote mliogiusana na Mbowe au kuwa karibu naye nendeni mkapime Corona na kajiwekeni Lockdown kwa gharama zenu.
Kwani tz kuna korona?Ni ajabu
watu wote kwenye hilo kongamano wakapime Corona na wa ji Lock down hii issue ni serious
Mwanaye alikuwa na Korona mwanzoni mwa 2020 iweje Korona iwe active hadi June 2021?Mbowe alipotoka kumzika kaka yake aliyekufa kwa Corona alitakiwa kujiweka Lockdown kunusuru wengine badala ya kuendelea kuzurura kwenye mikusanyiko ya watu.