Mbowe: Bunge likipitisha Mkataba wa DP World, tutaamsha Nchi nzima

Kusingekuwa na kinga ya kiongozi kushtakiwa umakini katika maamuzi ungekuwepo wa hali ya juu sana.
Ni nini lengo la kuweka kinga ya kushtakiwa?
 
DP World kuendesha Bandari Tz:
- Mbona Wananchi hawapewi taarifa ya walioomba hiyo tenda ni wangapi, Nani, kutoka wapi?
-Sasa naamini alivyosema raia mmoja wa Uswiswi, " Watu wasio Waafrika (blacks) wanaiona Afrika kama pori lenye mali za wao kuvuna katika majira muafaka. Huyu Mswiswi alikuwa na taasisi iliyokuwa inalipa fedha kuwakomboa watumwa huko Sudan.
 
Tuwe wakweli sisi Wabantu hatujiwezi kwa lolote labda ngono na pombe, hii Dubai wakati tunachukua uhuru Nchi ya Tanganyika ilikuwa na uchumi na maendeleo kuliko DUBAI na OMANI tumlaumu Mungu aliyetuumba na IQ hafifu.

Falme za Kiarabu walikuwa maskini wa Jangwani miaka 1960 ajira zao zilikuwa ni kuzamia pweza na Oyster.
 
Katika vitu vya MSINGI NCHI HII ameona hicho ndio chanzo cha msingi cha kuamsha???


Wanaacha kuamsha kwenye mizizi wanaamsha kwenye matawi!!!


DJ KAZIMA MZIKI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…