Johnson Fundi
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 1,386
- 1,207
sijui kama atarudi,akirudi huyu ni mbishiAlizaliwa Holi la ngombe sio kwa sababu pesa walikuwa hawana Bali nyumba ya wageni ilikuwa imejaa .Kasome Biblia Tena sababu ya Yesu kuzaliwa holini haikuwa sababu ya kuwa wazazi wake walikuwa maskini
Mmoja wenu wa Nani ? Yesu sio maskini mwenzio .Nguo alizokuwa akivaa Ni za kitajiri mno kiasi kuwa siku ya kusulubiwa Askari wa kirumi waluomsulubisha baada ya kufa waliamua kugawana.Angekuwa alikuwa maskini mvaa nguo za kimasikini Askari wale wasingezigombania.Nani angeweza gombania nguo za maskini Tena Askari aliyeajiriwa na serikali?Na ndivyo ninavyoelewa mimi kwamba Yesu hakuwa tajiri Mali kama wengine wanavyodai na kulikuwa na sababu kwa nini aliamua iwe hivyo, kwani yeye ni Mungu angeweza kuamua kuzaliwa popote pale hata juu ta dhahabu lkn aliamua zizini ili wengi wetu tuweze kujihusisha naye kwa kuwa ni kama mmoja wetu.
Kasome kitabu Cha ufunuo uone mbinguni kwake kulivyo Kuna majumba ya dhahabu nk ndiko Yesu alitokea.Kabla ya kuja Duniani.Luka 9:58 inasema ,, Yesu akasema, Mbweha wana Mapango, na ndege wana viota, lakini mwana wa mtu hana mahali pa kupumzikaβ alimaanisha nini? Kwa nini alisema hivyo kama alikuwa ni tajiri?
Mbowe alipata 0 shuleni ndio maana anaongea vitu vya kuota ,wangekuwa matajiri wa roho wasingejiuza kwa bei ndogo
Mbowe tajiri akaiuza chadema kwa lowasa
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawadanganya akina Mdude wanaoishi gheto!Na majengo ya makwao kule Machame yanaashiria vyote,utajiri wa roho na wa mwilini pia.
..wananchi hawapaswi kujiona WANYONGE.
..wakishajiona wanyonge kisaikolojia watajisalimisha kwa viongozi na kuvumilia uzembe na hata ukatili wa viongozi waliowachagua.
..waTz tuna tatizo la KUOMBA badala ya KUDAI haki na mahitaji yetu toka kwa viongozi.
..chanzo chake ni viongozi kwa muda mrefu kuwaita wanancho wanyonge mpaka imefika mahali sasa wananchi wanaamini wao ni wanyonge na wanastahili huruma.
"Wazazi" wa Yesu ni kina nani kwa mujibu wa Biblia?Alizaliwa Holi la ngombe sio kwa sababu pesa walikuwa hawana Bali nyumba ya wageni ilikuwa imejaa .Kasome Biblia Tena sababu ya Yesu kuzaliwa holini haikuwa sababu ya kuwa wazazi wake walikuwa maskini
Zitakufa hakuna binadamu asiyependa dezo.Ukitangaza chochote dezo dini yako itafurika watu kuliko umati wa Mohamed au Yesu kila mmoja akijinadi kuwa mfuasi mwaminifu kwako aliye tayari hata kufa kwa ajili yako kumbe mwongo anafuata dezo!!! Hata Yesu aliwafokea wafuata dezo akasema ninyi mnanifuata tu kwa kufuata chakula ninachowapa hamna lolote nyie.Kuna wakati uwa najiuliza "hivi inawezekanaje taasisi za dini zilizo kubwa zenye utajiri wa kutosha zinashindwa kusaidia waymini wao huduma za jamii bure"?
Mfano elimu bure,kuwajengea makazi bure,afya bure na hata mikopo yenye unafuu.
Hahahaaa.......nilidhani Dr Msukuma wa Geita vijijini!Mzee wa kung'ata na kupuliza.. kwa leo wacha nikupe like ya maneno..