Mbowe: CHADEMA tunaamini kwamba umaskini ni laana na kila mwanachadema ni tajiri rohoni mwake

Mleta hoja, haiyumkini haya mabadiliko yaliyoanzia kwako yameletwa na cdm baada ya kuyafukuza mapandikizi na vikaragosi vya ccm chamani!

Kwa kukaa na kujiandikia upande wa haki japo nawe upo upande wa wanyima haki ni haki na utakipwa haki!
Huyu Ndalichako ni Kati ya walimu wasiohisi uchungu wa mzazi kwa mtoto! Hafikirii kabisa juu ya adhari za kisaikolojia, kijamii na kimapato alizosababisha kwa jamii na watoto wenyewe! Leo namhukumu angalao nipate dhambi ya kutubu jumapili kuwa Hawa mawaziri wanaotoka katika familia maskini nao ni maskini wa akili na roho kuliko wengine japo wamesoma! Maskini ni maskini tu hata asome vipi!
 
Huwa sitishwi na slogan za wahuni wanaotumia maneno ya mvuto kuwakamata wapumbavu.

Najua ili uwe tajiri. Fanyakazi
Hakuna hiyo sera ya Utajirisho wa roho. Kama angekuwa nayo angeanzia alizonazo kuwapa wasio na kitu, lkn ndio nakopesha cdm na kujipa baadae, so what?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo wewe unaamini alizaliwa katika hali ya umaskini vile ili sisi tuendelee kuwa maskini na duni au alizaliwa katika hali ile ili awatoe waliokuwa katika hali ile na kwenda hali nzuri zaidi? kwako sahihi ni lipi? Binafsi najua alikuja ili kutuondoa kwenye unyonge na kuwa mashujaa. Kutuondoa kwenye utumwa na kutuweka huru. unyonge ni utumwa!
 


Lkn siyo kosa kuzaliwa masikini, kwani hauchagui pa kuzaliwa wala wa kukuzaa.
 
Zee la makinikia ndio limeleta umaskini wa kutupa hapa nchini.ccm kusukumizwa majitu mpaka wamesukumiza na lihutu la Rwanda .
 
This can only come from a low mind.
 
Duuh kweli hapa ndo ule msemo wa ujuzi hauzeeki unaonekana.. yan Maneno hayo Ni dhahiri kabisa yanafanana na Ya DJ na Mbowe Ni DJ by professional..

Juzi tu hapa alisema Tanzania Ina raia masikini wasio weza kumudu gharama za ndege kwahiyo ndege siyo kipaumbele Cha wananchi.
Harafu leo tu Anataka kutuaminisha kuwa Watanzania Ni matajiri.

Daaah Kwa akili hizi CCM itaendelea kubaki madarakani kwa miaka mingi Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo wewe unaamini sera za kifukara na kuwahubiria wananchi unyonge zinazosimamiwa na Rais Magufuli?
 
Kwahiyo wewe unaamini sera za kifukara na kuwahubiria wananchi unyonge zinazosimamiwa na Rais Magufuli?
Sera za ccm ni za ujamaa unaochochea umasikni, kuchukia waliofanikiwa, kuharibu biashara, kuua secta binafsi
 
Jenga tabia ya kujisomea mwenyewe, itakusaidia kuachana na ukasuku uliyojichimbia huko Lumumba. Amen.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…