Mleta hoja, haiyumkini haya mabadiliko yaliyoanzia kwako yameletwa na cdm baada ya kuyafukuza mapandikizi na vikaragosi vya ccm chamani!
Kwa kukaa na kujiandikia upande wa haki japo nawe upo upande wa wanyima haki ni haki na utakipwa haki!
Huyu Ndalichako ni Kati ya walimu wasiohisi uchungu wa mzazi kwa mtoto! Hafikirii kabisa juu ya adhari za kisaikolojia, kijamii na kimapato alizosababisha kwa jamii na watoto wenyewe! Leo namhukumu angalao nipate dhambi ya kutubu jumapili kuwa Hawa mawaziri wanaotoka katika familia maskini nao ni maskini wa akili na roho kuliko wengine japo wamesoma! Maskini ni maskini tu hata asome vipi!