Kiraka
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 4,285
- 4,074
Angalau miongoni mwao namfahamu Stella Fiyao.Mpambanaji na mjenga hoja.Kwa ujumla Hana makuu huyu mama kutoka Tunduma Songwe.Ameipambania CDM Kwa muda mrefu huku akipitia magumu mengi Sana.CDM itakuwa imepoteza mtu muhimu Sana.
Mtu mzima na akili zake anafuataje mkumbo.. ni kwa muada gani alikuwa anafuata mkumbo? mpaka amefukuzwa ndio amejua?