Well said"Hatuendi kwenye uchaguzi kuomba kuwa Chama Kikuu cha Upinzani, tayari sisi ni Chama Kikuu cha Upinzani, tunakwenda kwenye uchaguzi kutafuta Dola."
Asante Yesu wa chadema Mbowe
Kule Dodoma , Mbowe aliumia kwa kupigwa au kwa ulevi ?Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Mhe. Freeman Mbowe amesema, kuna baadhi ya vyama vya siasa na wanasiasa hasa wanaCCM wanasema tuachane na Urais tujiandae kwa Ubunge na Udiwani, Mbowe anasema stage ya kuwa chama kikuu cha Upinzani wameshaipita wanaingia kwenye uchaguzi mkuu kutafuta kushika dola.
"Hatuendi kwenye uchaguzi kuomba kuwa Chama Kikuu cha Upinzani, tayari sisi ni Chama Kikuu cha Upinzani, tunakwenda kwenye uchaguzi kutafuta Dola." Mhe. @freemanmbowetz.
Tatizo ni kwamba wananchi hawapo tayari kwa mabadiliko.Bali mnaenda kufanya nini?!
Tume Huru ipo wapi
Kushika dola ndio nini?
Mmejipanga kweli?
Upinzani kuweni serious msifanye mambo kwa mazoea
Vyama vya upinzani 20 hamuelewani mtawezaje kushinda?
My thought....
Atafute tume huru ya uchaguzi wakati anajua hata hii ipo huru? Na ilishamtangaza kama mbunge. Yupo sawa anatakiwa apambane kukamata dola.Badala ya kutafuta Tume huru ya uchaguzi yeye anatafuta Dola.......Bure kabisa!
ππππBadala ya kutafuta Tume huru ya uchaguzi yeye anatafuta Dola.......Bure kabisa!
Vyama gani 20, hivyo vya kwenye briefcase.Bali mnaenda kufanya nini?!
Tume Huru ipo wapi
Kushika dola ndio nini?
Mmejipanga kweli?
Upinzani kuweni serious msifanye mambo kwa mazoea
Vyama vya upinzani 20 hamuelewani mtawezaje kushinda?
My thought....
Kwani Ndugai alisemaje.Kule Dodoma , Mbowe aliumia kwa kupigwa au kwa ulevi ?
aiseee hii kaliMwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Mhe. Freeman Mbowe amesema, kuna baadhi ya vyama vya siasa na wanasiasa hasa wanaCCM wanasema tuachane na Urais tujiandae kwa Ubunge na Udiwani, Mbowe anasema stage ya kuwa chama kikuu cha Upinzani wameshaipita wanaingia kwenye uchaguzi mkuu kutafuta kushika dola.
"Hatuendi kwenye uchaguzi kuomba kuwa Chama kikuu cha upinzani, sisi ni Chama kikuu cha upinzani, tunakwenda kwenye Uchaguzi kutafuta dola. Hivyo vyama vingine vinakwenda kutafuta wabunge na madiwani" M/kiti wa @ChademaTz Mhe. @freemanmbowetz.
Sikumbuki.Kwani Ndugai alisemaje.
Akikujibu tu, zawadi yake nitampatiaKule Dodoma , Mbowe aliumia kwa kupigwa au kwa ulevi ?