Uchaguzi 2020 Mbowe: Hatuendi kwenye uchaguzi kuomba kuwa Chama Kikuu cha Upinzani, tunatafuta dola

Uchaguzi 2020 Mbowe: Hatuendi kwenye uchaguzi kuomba kuwa Chama Kikuu cha Upinzani, tunatafuta dola

Bali mnaenda kufanya nini?!
Tume Huru ipo wapi
Kushika dola ndio nini?
Mmejipanga kweli?
Upinzani kuweni serious msifanye mambo kwa mazoea
Vyama vya upinzani 20 hamuelewani mtawezaje kushinda?
My thought....
Subiri waumini wake waje. Ila huu ndiyo ukweli umewaambia.
 
Kama ni dola za U.S watazipata ila kama ni dola Serikali haiwezekani"never"
Uko aslimia 100 sahihi kwa mazingira ya sasa ambapo uwanja wa kisiasa na sheria zake unaelemea upande wa chama tawala. Vinginevyo hadithi ingekuwa tofauti. Keep wishing the environment to remain as it is for ever.
 
Imefika wakati namtilia mashaka mwenyekiti Mbowe kuwa ni CCM na yupo hapo kwa kazi ya CCM.
 
Katika watu ambao kaweza kuwashikia wafuasi wake akili ni Mbowe, kafanikiwa sana kila ikifika wakati wa uchaguzi anakuja na drama mpya, miaka 22 sasa mwenyekiti hamna wa kumpiga.
 
Naona lile swala lake la Faru John washalifukia OK ugua pole THE MWENYEKITI.
 
Kama ni dola za U.S watazipata ila kama ni dola Serikali haiwezekani"never"
Kwani uchaguzi maana yake ninini??
Kazi ya CHADEMA kuwakomboa Watanzania toka makucha ya mkoloni mweusi CCM!!
Wananchi wataamua kwenye sanduku la kura kama wataendelea kufinyiliwa na hawa watawala!!
 
Katika watu ambao kaweza kuwashikia wafuasi wake akili ni Mbowe, kafanikiwa sana kila ikifika wakati wa uchaguzi anakuja na drama mpya, miaka 22 sasa mwenyekiti hamna wa kumpiga.
FB_IMG_1595009729173.jpg
 
Nakuona Quinine Dihydrochloride, kumhusu huyu Disco Joker Wala hanishangazi. Janjajanja yake ya kuchezesha maneno juu ya vichwa vibovu aliitoa kipindi KILE AKIBADILISHA GIA angani...sembuse kipindi hk HAKUNA mawimbi,Mana Membe hatishi lolote.

MKAANGA CHAPATI huyo Hana jipya kwani kaumbuliwa vibaya na kina LIJUALIKALI na kuanikwa upenuni kiasi Cha kuihoji CREDIBILITY Yake......

JANJAJANJA TU in town
Mnamwogopa saana Mbowe na makamanda wa CDM, tamko moja tuu matumbo Lumumba yanakata!!
Subirini sasa Augost kampeini zianze tuone wananchi watamsikiliza nani??
 
Back
Top Bottom