Uchaguzi 2020 Mbowe: Hatuendi kwenye uchaguzi kuomba kuwa Chama Kikuu cha Upinzani, tunatafuta dola

Uchaguzi 2020 Mbowe: Hatuendi kwenye uchaguzi kuomba kuwa Chama Kikuu cha Upinzani, tunatafuta dola

Bali mnaenda kufanya nini?!
Tume Huru ipo wapi
Kushika dola ndio nini?
Mmejipanga kweli?
Upinzani kuweni serious msifanye mambo kwa mazoea
Vyama vya upinzani 20 hamuelewani mtawezaje kushinda?
My thought....
Hii ni ndoto aisee!
Kwanza hawa jamaa watapiga kampeni kwa shida shida sana.
 
Badala ya kutafuta Tume huru ya uchaguzi yeye anatafuta Dola.......Bure kabisa!
😃😃 kwa hiyo katika kuelekea uchaguzi mkuu,mwezi wa 10 waendelee kutafuta tume huru ya uchaguzi?Kweli?!
Yani huo ndio ushauri wako kwa wakati huu.
 
Na technology yote iliyopo sasa bado hutaki kuamini kwamba inawezekana sana ukapiga tiktak huku umevaa kanzu?

Mbona ni kama bado unaishi gizani mkuu!
Tena usijaribu mkuu utapiga kichwa chini.
 
Bali mnaenda kufanya nini?!
Tume Huru ipo wapi
Kushika dola ndio nini?
Mmejipanga kweli?
Upinzani kuweni serious msifanye mambo kwa mazoea
Vyama vya upinzani 20 hamuelewani mtawezaje kushinda?
My thought....
MKUU KUSHIKA DOLA MAANA YAKE NI KUSHIKA HATAMU NA KUONGOZA NCHI IKIWA NI PAMOJA NA MIHIMILI MIKUU.Kwa Taarifa ili kushika Dola haihitaji vyama 20.Cha msingi ni namba 2 na 4 ulivotaja hapo juu
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Mhe. Freeman Mbowe amesema, kuna baadhi ya vyama vya siasa na wanasiasa hasa wanaCCM wanasema tuachane na Urais tujiandae kwa Ubunge na Udiwani, Mbowe anasema stage ya kuwa chama kikuu cha Upinzani wameshaipita wanaingia kwenye uchaguzi mkuu kutafuta kushika dola.

"Hatuendi kwenye uchaguzi kuomba kuwa Chama kikuu cha upinzani, sisi ni Chama kikuu cha upinzani, tunakwenda kwenye Uchaguzi kutafuta dola. Hivyo vyama vingine vinakwenda kutafuta wabunge na madiwani" M/kiti wa @ChademaTz Mhe. @freemanmbowetz.
Hajaongelea "kuvamiwa"? Ahahahahahh!
 
Tupate Jibu
Kwa nini Mwenyekiti kachukua fomu ya Urais baada ya Tundu Lissu Kuchukua Fomu!!!!
Halafu Upande fulani wanamtaka Membe akagombee kule!!!

Ni ndoto za alinacha kudhani Chadema wanaenda kushika dola
 
Hakika .
 
Hujui kitu
 
Kama ni dola za U.S watazipata ila kama ni dola Serikali haiwezekani"never"
Usitukatishe tamaa tuna mgombea mchapa kazi[emoji23][emoji23][emoji23]
tapatalk_1593528776616.jpeg
 
Labda kama wanatafuta dola za kimarekani,watazipata tu kutoka kwa mabwana zao wanaowatuma
Ina maana Kabudi anapowapigia magoti wazungu wa Ulaya huwa anaomba dola kwa bwana zake au anaomba kwa bwana wa nani.
 
Back
Top Bottom