Uchaguzi 2020 Mbowe: Hatuendi kwenye uchaguzi kuomba kuwa Chama Kikuu cha Upinzani, tunatafuta dola

Uchaguzi 2020 Mbowe: Hatuendi kwenye uchaguzi kuomba kuwa Chama Kikuu cha Upinzani, tunatafuta dola

Nyuzi zilizochangamka kuhusu uchaguzi ni za CCM za chadema ziko hoi bi taabani ukiwemo huu wa tamko la Mbowe kulikoni?

Za CCM magufuli tu kurudisha fomu zimefurika umati usiokuwa wa kawaida
 
Nyuzi zilizochangamka kuhusu uchaguzi ni za CCM za chadema ziko hoi bi taabani ukiwemo huu wa tamko la Mbowe kulikoni?

Za CCM magufuli tu kurudisha fomu zimefurika umati usiokuwa wa kawaida
Ingekuwa ni upinzani wangekamatwa kwa maandamano yasiyo na kibali
 
Nyuzi zilizochangamka kuhusu uchaguzi ni za CCM za chadema ziko hoi bi taabani ukiwemo huu wa tamko la Mbowe kulikoni?

Za CCM magufuli tu kurudisha fomu zimefurika umati usiokuwa wa kawaida
Tunaangalia ujumbe siyo kuchangamka.
 
Hatuendi kwenye uchaguzi kutafuta udiwani na ubunge
Tunaenda kuchukua dola.

Hakika haya ni maneno kutoka kwa kiongozi aliyekomaa kisiasa.

Salaam ziwafikie mataga woote na rafiki yao mzee wa kulialia Mbatia
FB_IMG_1593529535949.jpeg
 
Mkuu, pole, lakini ndio sehemu ya kujipatia ridhiki pia, Mimi buana silipwi chochote! Na sina mkataba na Chama chochote, Ila kuna Wakati nafanyaga ili kulipiza tu mihasira ya 2015 jinsi Mbowe alinivuruga Mie,

Sina Chama na hakuna Chama cha kunilipa Kwa sababu najitoshereza, ninikila kitu, Ila Mbowe aliuvunja Sana moyo wangu, niliamua kuwa mshabiki wa Magufuli na wenginewe ambao hata Chadema Wapo, Ila sina chama
Kama unaweza kutunza hasira kwa miaka 5 mfulululizo , wewe utakuwa sio binadamu wa kawaida.
 
As
Hatuendi kwenye uchaguzi kutafuta udiwani na ubunge
Tunaenda kuchukua dola.

Hakika haya ni maneno kutoka kwa kiongozi aliyekomaa kisiasa.

Salaam ziwafikie mataga woote na rafiki yao mzee wa kulialia Mbatia
View attachment 1493498
Asante mkuu wataipata tu mwakani hawa ma-nduli, karibu tena kamanda tuendeleze mapambazo, peopleeeeeeeesss!
 
ili neno Dola ilikuwaje mpaka likatumika kumaanisha serikali/uongozi wa serikali?
alafu mbowe ina maana chaguzi zilizopita walikuwa wanaenda ili wawe chama kikuu cha upinzani sio hahahahaaaa sasa hivi wanaenda kutafuta dola😄😄😄😄😄 wapiga kura sijui waambiwe nini tena
 
Back
Top Bottom