mtimawachi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 2,108
- 3,155
Haihusiani na uchaguzi,chadema walihamasisha wananchi wasikubali GESI ITOKE,..Yote hayo yalitokea kwasababu ya kulazimisha ushindi wa CCM.
..Badala ya kuua watu, kuwatia ulemavu, na kuwafunga wengine, CCM ingeweza kubadili sheria ili wabunge waweze kuhama vyama bila kulazimisha uchaguzi kurudiwa.
ULIMBOKA na AQUILINA havihusiani na uchaguzi.
SEMA chadema ni wazandiki tu na ndio maana wanafeli kutokana laana