Muju4
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 5,489
- 7,446
Ulienda huko motoni Mkuu?Mbowe anajua gharama za kupigania katiba mpya. Kwani ni kipi hajafanyiwa na yule kiongozi muovu aliyeko motoni? Ndio itakuwa huyu mama?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulienda huko motoni Mkuu?Mbowe anajua gharama za kupigania katiba mpya. Kwani ni kipi hajafanyiwa na yule kiongozi muovu aliyeko motoni? Ndio itakuwa huyu mama?
SawaVuta subira.
Nani kamiambia Raia wa nchi hii ni chadema tu ? Ata wasio taka katiba na kumpa mama muda wa kujenga uchumi ni watanzania pia, sasa kama mnafikiri mnaweza mvimbia Rais endeleeni ila msije mkaaanza kulialia maana tunawafahamuNi wapumbavu pekee ndio wanaodhani katiba ni hisani
Ahahahahaha itakuwa yeye ndio mchochea kuniUlienda huko motoni Mkuu?
Ulienda huko motoni Mkuu?
Wewe hautaishi milele yeye amekwenda anasubiria hukumu yake, wewe na mimi tujiandae na yetu pia itakuja, sasa unapoongea kana kwamba wewe una assurance ya kuishi milele inashangaza kidogo.Dhalimu yoyote akiondoka duniani huko ndio makazi yake. Kwakuwa alikutumia kwenye uovu wake, kufa leo kama hamjakutana huko.
Comte hakuwa na akili mgando kama hizi,, labda kama sio Augustine
They have no intellectual capacity nor the power of masses behind them. ha ha ha ha ha trying to compensate the lost ground so to remain relevant. He promised to retire 2023, it is too close.And always failures occures at maximum stress points.
We are not yet there, the factors which ultimately limit democratization are many, including economics, culture, and historical legacies are impacting on the process.Kazi imeanza jana tar 1 Pale Barakuda Nadhani Ujumbe umefika.
leo wanaccm na wasiopenda maendeleo na demokrasia wamelala na viatu
Kwani Katiba ya CDM imekamilika?Mwenyekiti wa kudumu wa CHADEMA amemuonya Rais Samia kuwa asikubali kuliruhusu bunge lililopo sasa hivi lianze mchakato wa katiba mpya.
Mbowe amesema Rais akiruhusu hilo wao kama chama cha upinzani nchini hawatakubali kamwe.
"Kwanza tuna amani mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa ni haki ya kikatiba kisheria na ni wajibu wetu, ombi la mama Samia kwamba tusubiri, tumpe muda hatuko tayari kumpa muda."Freeman Mbowe
====
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, amemwomba Rais Samia Suluhu Hassan, aunde Tume ya Katiba, itakayoshirikisha makundi yote kwa ajili ya kufufua mchakato wa katiba mpya “na hatutakubali Bunge hili lililopo, litutengenezee katiba mpya.”
Ombi la Mama Samia kwamba tumpe muda hatupo tayari kumpa muda na natoa agizo kwa Viongozi Nchi nzima wajiandae kwa mikutano ya hadhara siku ambayo tutaitangaza.
Tunapendekeza kuwe na Bunge la Katiba na lisiwe Bunge hili linaloendelea sasa wala wasituambie Bunge hili la sasa ndio liunde Katiba, ichukuliwe rasimu ya Warioba na Katiba na kisha iundwe rasimu ya Katiba mpya, sio gharama na tukiamua tutapata Katiba mpya mwaka huu.
Katiba ni mali ya Wananchi na sio mali ya Viongozi, miongoni mwa mambo ambayo Rasimu ya Katiba ya Warioba ilibainisha ni kupunguza majukumu ya Rais,Warioba alipendekeza tuwe na Tume Huru ya Uchaguzi, Tuwe na Mgombea Huru.
Madai ya Katiba tutadai asubuhi, mchana hadi usiku, kama wanataka tukae mezani turidhie kama wasiporidhia tutakutana Barabarani, hatutoridhia kushiriki Uchaguzi wowote bila kuwa na Katiba au Tume ya Uchaguzi