mtimawachi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 2,108
- 3,155
Haihusiani na uchaguzi,chadema walihamasisha wananchi wasikubali GESI ITOKE,..Yote hayo yalitokea kwasababu ya kulazimisha ushindi wa CCM.
..Badala ya kuua watu, kuwatia ulemavu, na kuwafunga wengine, CCM ingeweza kubadili sheria ili wabunge waweze kuhama vyama bila kulazimisha uchaguzi kurudiwa.
Hamna lolote nyinyi,eti swala la muda! Kwa MAGU kila mpinzani ALISUJUDU hadi wengine walikimbilia njeAkorome KWA lipi Sasa, wakati kinachaodaiwa ni haki ya wananchi, hivi nyie mnaona tanzania ni kisiwa ,msione kwamba mwendazake aliweza ilikua swala la mda ati ipo siku angeshangaa Sana, leta katiba ,maana hakuna wakuizuia katiba,
Jiwe amemaliza mwendo lakini maumivu aliomuachia Mbowe alitangaza hadharan, kama ile dozi hajamkolea sasa aendelee na Katiba mpya wakati Rais amesema apewe mda, mtakuja humu kulialia kama kuku
HAPA KAZI tu ni slogan ya AWAMU YA 5.......
Halafu wewe naye, hivi shule ulisomea wapi?Ni kweli wakati Mpango anasema wananchi wafundishwe katiba iliyopo sasa eti baada ya miaka 60 ya Uhuru ndiyo mafunzo ya katiba yaanze. Wakati huo huo Rais wake anasema anajenga uchumi tulioambiwa uliimarika tangu awamu ya tano.
Kila mtu na kauli yake.
Kama lisu alivyowaambukiza watu wengi ungeseMagufuli aliwaambukiza watu wengi ukichaa.
Na ieleweke wazi kwamba maana ya "...kutoshiriki uchaguzi wowote bila Tume Huru ya Uchaguzi"... ni kwamba HAPATAKUWEPO NA UCHAGUZI WA AINA YOYOTE.“Madai ya Katiba tutadai asubuhi, mchana hadi usiku, kama wanataka tukae mezani turidhie kama wasiporidhia tutakutana Barabarani, hatutoridhia kushiriki Uchaguzi wowote bila kuwa na Katiba au Tume ya Uchaguzi”———M/kiti wa CHADEMA, Mbowe
Kwanini ni wanaccm tu na sio wananchi wanaogopa Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi?.“Madai ya Katiba tutadai asubuhi, mchana hadi usiku, kama wanataka tukae mezani turidhie kama wasiporidhia tutakutana Barabarani, hatutoridhia kushiriki Uchaguzi wowote bila kuwa na Katiba au Tume ya Uchaguzi”———M/kiti wa CHADEMA, Mbowe
Kazi imeanza jana tar 1 Pale Barakuda Nadhani Ujumbe umefika.Na ieleweke wazi kwamba maana ya "...kutoshiriki uchaguzi wowote bila Tume Huru ya Uchaguzi"... ni kwamba HAPATAKUWEPO NA UCHAGUZI WA AINA YOYOTE.
Haya yasiwe maneno tu ya mitaani, ni maneno yanayohitaji maandalizi makubwa ili wananchi wasiruhusu uchaguzi huo popote nchini.
Hiyo ndiyo kazi inayowakabili CHADEMA na wote wanaokataa upuuzi unaofanyika ndani ya nchi hii.
Kwanini ni wanaccm tu na sio wananchi wanaogopa Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi?.
Na ieleweke wazi kwamba maana ya "...kutoshiriki uchaguzi wowote bila Tume Huru ya Uchaguzi"... ni kwamba HAPATAKUWEPO NA UCHAGUZI WA AINA YOYOTE.
Haya yasiwe maneno tu ya mitaani, ni maneno yanayohitaji maandalizi makubwa ili wananchi wasiruhusu uchaguzi huo popote nchini.
Hiyo ndiyo kazi inayowakabili CHADEMA na wote wanaokataa upuuzi unaofanyika ndani ya nchi hii.
Wanachadema wa Tanzania nzimaMbowe katumwa na wananchi wapi?
Wakati mbowe anaongoza kambi ya upinzani Bungeni kwa miaka mitano alishindwa kabisa kusukumiza swala la katiba mpya, badala yake akawa anasukumiza maandamano ya hadhara na mikutano ya saa saba za usiku. Leo yuko nje ya bunge ndipo anaamka kuvuta shuka wakati kumekucha!“Madai ya Katiba tutadai asubuhi, mchana hadi usiku, kama wanataka tukae mezani turidhie kama wasiporidhia tutakutana Barabarani, hatutoridhia kushiriki Uchaguzi wowote bila kuwa na Katiba au Tume ya Uchaguzi”———M/kiti wa CHADEMA, Mbowe
Mkuu BAK, uchaguzi ukiruhusiwa kufanyika sehemu yoyote nchini, hata wapiga kura asili mia moja tu (1%) wakijitokeza, CCM watadai uchaguzi huru umefanyika na kujitangazia ushindi, kama ule wa serikali za mitaa na uchafuzi uliofuata wakati wa uchaguzi mkuu.Inabidi kuwe na kampeni ya nguvu sana ya nchi nzima ili Wananchi wasishiriki katika uchaguzi FAKE ambao utasimamiwa na Tume FAKE hivyo kupata matokeo FAKE. Itakuwa pia sana kama nchi nzima less than 10% ya wapiga kura ndiyo wanashiriki uchaguzi huo FAKE.
Mkuu BAK, uchaguzi ukiruhusiwa kufanyika sehemu yoyote nchini, hata wapiga kura asili mia moja tu (1%) wakijitokeza, CCM watadai uchaguzi huru umefanyika na kujitangazia ushindi, kama ule wa serikali za mitaa na uchafuzi uliofuata wakati wa uchaguzi mkuu.
Lengo liwe kuzuia uchaguzi usiwepo kabisa, watu wasifike kwenye vituo vya kupigia kura kabisa. Hata hao waCCM wasithubutu kwenda huko vituoni.
Ni hivi: CHADEMA na wengine wasiofurahishwa na haya mambo ya CCM hawawezi kukosa watu angalao 50 katika vituo vyote vya kupigia kura nchi nzima.
Hakuna polisi wa kuweza kusimamia kila kituo na kupambana na hao watu 50 wanaosimamia kazi ya kuzuia uchafuzi usitokee. Kama kuna watu wa CCM watakaotaka mapambano kwenye hivyo vituo, basi hiyo itakuwa ni habari tofauti.
Maana yake huo ndio utakuwa mwanzo wa mapambano nchi nzima.
Kama hayo ndiyo wanayoyataka CCM kwa kukaza shingo hivi, basi waambiwe wazi kwamba nchi itachafuka.
Wa Tanzania ni wapuuzi waziri tu, tena mno.Kila siku zinavyozidi kujongea ndio ndugu Mbowe anavyozidi "kupuyanga kihoja".....
Jamaa anatabirika sana kwa "kuropoka pang'ang'a"......
Watanzania si WAPUUZI.....🤣🤣