Pre GE2025 Mbowe: Hawa wanaongea uzushi uzushi kila siku kwenye vyombo vya habari baada ya Uchaguzi tutawashughulikia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
1737089115728.jpg
 
Heche kajiunga kundi ambalo silo, Heche bado ana muda mrefu sana wa kufanya siasa, hao wengine washafikia mwisho.kifupi kajichanganya, wenzake wote wana miji ughaibuni - mwenzangu tuko naye hapa hapa Nyamongo tunagawana ugali dagaa pa kwenda hana..

aisee Heche.
Pakwenda anapo - CCM. Na hili litakuwa ni pigo kubwa sana kwa wapenda mabadiliko nchini

Hii yote kwa sababu ya ulafi wa kakikundi kadogo ndani ya chama
 
  • Thanks
Reactions: I M
Mbona mbowe ni kama kajihakikishia uenyekiti kwa maneno haya?
===
Freeman Mbowe anasema baada ya Uchaguzi kumalizika watawarudia wale wote waliokuwa wanatoa upotoshaji kwenye vyombo vya habari na Mitandao ya kijamii.

Huenda mambo yakawa mabaya zaidi kwa Lemma, Lissu na Heche endapo hawatashinda Uchaguzi huu kwani watalazimika kujiondoa CHADEMA kabla ya kamati kuu ya Mbowe kuwashughulikia.
 
Kwanini Lema,Lissu na Heche na isiwe Wenje akina Ntobi ambao kauli zao zimamwibua katibu mkuu kutoa ufafanuzi
 
Heche kajiunga kundi ambalo silo, Heche bado ana muda mrefu sana wa kufanya siasa, hao wengine washafikia mwisho.kifupi kajichanganya, wenzake wote wana miji ughaibuni - mwenzangu tuko naye hapa hapa Nyamongo tunagawana ugali dagaa pa kwenda hana..

aisee Heche.
Kwani kuwa na MAONO tofauti ni uadui?!

Kusema UKWELI ni kosa? Anaweza kuamua kuwa mwanachama wa kawaida haina shida.

Kwani Kuna aliye zaliwa kua KIONGOZI wa CCM au chadema?!

NB.
""KUNA WATU AKILI ZAO ZIMELOWANA""
 
Heche kajiunga kundi ambalo silo, Heche bado ana muda mrefu sana wa kufanya siasa, hao wengine washafikia mwisho.kifupi kajichanganya, wenzake wote wana miji ughaibuni - mwenzangu tuko naye hapa hapa Nyamongo tunagawana ugali dagaa pa kwenda hana..

aisee Heche.
ACT ipo ataenda kufanya siasa huko
 
Mbowe ana uhakika wa kushinda,ni ileile jeuri ya kachero mbobezi Membe na maadui zake aliowaambia wajiandae kwenda Kenya!
 
===
Freeman Mbowe anasema baada ya Uchaguzi kumalizika watawarudia wale wote waliokuwa wanatoa upotoshaji kwenye vyombo vya habari na Mitandao ya kijamii.

Huenda mambo yakawa mabaya zaidi kwa Lemma, Lissu na Heche endapo hawatashinda Uchaguzi huu kwani watalazimika kujiondoa CHADEMA kabla ya kamati kuu ya Mbowe kuwashughulikia.
Inauma sana hii Kwakweli
 
Yeye mwenyewe tutampumzisha.
Chama chetu hakiwezi kufikia hatua kikawa sawa na TLP au UDP huku tukimchekea Mbowe.
Atambue chama sio mali yake.
Ndugu zetu wameuawa wakikipambania chama halafu yeye alambe asali ili kuwasaidia watesi wetu.
Tumeshachora mstari
 
Heche kajiunga kundi ambalo silo, Heche bado ana muda mrefu sana wa kufanya siasa, hao wengine washafikia mwisho.kifupi kajichanganya, wenzake wote wana miji ughaibuni - mwenzangu tuko naye hapa hapa Nyamongo tunagawana ugali dagaa pa kwenda hana..

aisee Heche.
Mbowe yeye bado ana muda mrefu sana wa kufanya siasa? Uchawa ni mzigo mzito.
Chadema sio mali ya mbowe na nyie viroboto vyake.
 
Chair anatoa maneno ya vitisho kwakua anauhakika wa kushinda tena kwa namna yeyote ile...🤣
Sasa najiuliza ikiwa itatokea akashindwa yeye, sijui itakuaje...🤔
Chama ni baba mkwe yeye ni mmoja wa waasisi na mjumbe wq kudumu!
 
Mbowe yeye bado ana muda mrefu sana wa kufanya siasa? Uchawa ni mzigo mzito.
Chadema sio mali ya mbowe na nyie viroboto vyake.
Mbowe ataondoka madarakani rasmi 2030, CDM itampa baraka zote kama kiongozi mwandamizi wa chama aliyekifanyia chama mambo makubwa.

Sasa wewe kama hutaki Mbowe awe kiongozi wa CDM utaumia sana saana.
 
===
Freeman Mbowe anasema baada ya Uchaguzi kumalizika watawarudia wale wote waliokuwa wanatoa upotoshaji kwenye vyombo vya habari na Mitandao ya kijamii.

Huenda mambo yakawa mabaya zaidi kwa Lemma, Lissu na Heche endapo hawatashinda Uchaguzi huu kwani watalazimika kujiondoa CHADEMA kabla ya kamati kuu ya Mbowe kuwashughulikia.
....FAM bora asiongee...maana anazidi kuharibu.....Yaani ameshindwa kuwashughulikia COVID 19....leo awashughulikie VIGOGO....
 
Kuna mambo nilikuwa namtetea sana Mbowe kuwa hawezi kuyafanya lakini kwa ninachokishuhudia sasa baada ya Lissu kutangaza kugombea uenyekiti, Mbowe anaweza kufanya chochote kile linapokuja suala la uenyekiti wale. Hata hii ya Chacha Wangwe kiasi naanza kuiamini,huyu jamaa anaonekana yuko humble lakini kwenye suala la uenyekiti anakuwa beast.
 
Back
Top Bottom