Utakuwa nyumbu mpaka lini?JPM mwenyewe alishakiri kule morogoro kwamba wana CCM walishinda kwa rushwa na hawakuchaguliwa na wananchi. Ghafla aliyeongoza wizi huo bwana Shaka ndio katibu wenu wa uenezi.
Subiri 2025 mtapata majibu yote
Magufuli kuzaliwa kwake, kuwa rais mpaka kufa ni matakwa ya Mungu. Ni chaguo lake yeye Mungu kuwa na ikawa,Akili zako zinaakisi hiyo Avatar yako!!
Mie nimepinga kumuita ni chaguo la Mungu/ mcha Mungu. Wewe msifie unavyotaka ila usilazimishe eti alikua chaguo la Mungu!!
Hyu si ndio alisema maombi yatatulinda na Corona na kwamba ni kiongozi pekee ''aliyesimama'' na Mungu wakati dunia nzima "ikitegemea" chanjo.
Sasa Mungu angekubali kweli mtu wake aondoke katikati ya vita?? Kwamba shetani ana nguvu kuliko Mungu?? Embu acheni kukufuru wakuu.... Mtajiongezea laana tu
Wewe ni Joyce Mkuya nyumba ndogo ya mbowe?Hakuwa na mahusiano na Angellah? Mbona ipo wazi kwamba alikua anapenda wanawake hta yye alikua anakiri kwa utani thou alimaanisha.
JPM kitendo cha kulala na mke wa mtu nje ya ndoa tayari inamdisqualify kuwa mcha Mungu. Mpeni sifa zote ila mnakosea mnapompa Utakatifu.
JPM nina uhakika yupo kuzimu 100% unless kama wanachodai- kuwa walimuongoza sala ya toba - ni kweli.
Mwendazake alinunua wabunge wa CHADEMA kama 5 na wanne kawapa u Naibu Waziri (Mollel, Gekul, Sikinde na Waitara).Wasio na akili kwa kiwango chako huwa ni chadema
Watu wazima wenye akili timamu hawawezi kununuliwa Kama ng'ombe mnadani, hao waliamua wenyewe kwa hiari yao.Mwendazake alinunua wabunge wa CHADEMA kama 5 na wanne kawapa u Naibu Waziri (Mollel, Gekul, Sikinde na Waitara).
Kama CHADEMA hawana akili ni vipi Magufuli althubu kuwanunua na kisha kuwapa u NW wakati wa CCM wapo?
Tikisa kichwa chini juu uangalie pengine huna ubongo
Hao ni nyumbu mkuuWatu wazima wenye akili timamu hawawezi kununuliwa Kama ng'ombe mnadani, hao waliamua wenyewe kwa hiari yao.
Tatizo lenu hamuamini katika demokrasia ya vyama vingi, kwamba mtu yupo huru kuchagua chama achoona kinafaa.
Mtu akitoka CCM kwenda Chadema mnamuita kamanda au shujaa, akitoka Chadema kwenda CCM eti amenunuliwa, ni upuuzi.
AminaMwanga wa milele amuangazie bwana,apumzike kwa amani JPM.🙏🙏
Hauiamini video ya mbowe?Hapa ndipo ma uvisisiem mnapo jidharaulisha...
Hivi hayo maamuzi magumu aliyoongea Mbowe... Of which Im yet to believe that this video is true kayataja...
Hivi mnajua amuzi gumu kuliko yote alolifanya mwenda .. !?
Mataga bana
Ni ukweli usiofichika. Ila ukatili wake ndiyo ulimponza.
Hata shetani ana mazuri yake! Kwa hiyo sifa kubwa iliyombeba ni ukatili, ujambazi na ubinafsi!Nafsi zitawasuta sana wanafiki nyinyi
Umeshindwa fasiri maneno ya Mbowe'!'!Hauiamini video ya mbowe?
unaamua kuota makusudi sasa.Umeshindwa fasiri maneno ya Mbowe'!'!
Rudi shule...
Figuratively..he was not praising the late.. He was 'IRONICAL'
Hakuna na mnafiki kama wewe unaujua ukweli ,ukatili wake,roho ya uuwaji unaijuiaNafsi zitawasuta sana wanafiki nyinyi
Alianzisha kikosi cha wasiojulikana ambacho kimeua, kimenyang'anya mali za watu na kutesa watu na ukatili mwingine wa kutisha!Alikufanyia ukatili gani ?
Mkuu.. I did not quote you!!unaamua kuota makusudi sasa.