Mbowe hebu tupe jibu, lini ulifanya maandamano ya CHADEMA Moshi mjini?

Mbowe hebu tupe jibu, lini ulifanya maandamano ya CHADEMA Moshi mjini?

Mzee Freeman Mbowe salaam!
Nataka unipe mrejesho tu, ni lininuliitisha maandamano ya kitaifa ya CHADEMA Moshi mjini?
Moja maandamani ni njia ya kesema hatukubaliani na Jambo fulani.

Ni njia pia kusema tunaunga mkono jambo fulani.

Sasa unataka Mbowe afanye nini wakati Kinamrema walishafanya yote huko nyuma Sasa ni zamu ya wengine.
 
Mzee Freeman Mbowe salaam!
Nataka unipe mrejesho tu, ni lininuliitisha maandamano ya kitaifa ya CHADEMA Moshi mjini?

..safari hii Mbowe hakuitisha maandamano huko Mbeya.

..Pia mkutano wa siku ya wanawake mwaka iliopita ulifanyika Moshi.

..Chadema wangepeleka mkutano wa Baraza lingine Moshi mngeleta hoja kwamba kuna upendeleo.
 
Back
Top Bottom