Mbowe hebu tupe jibu, lini ulifanya maandamano ya CHADEMA Moshi mjini?

Mzee Freeman Mbowe salaam!

Nataka unipe mrejesho tu, ni lininuliitisha maandamano ya kitaifa ya CHADEMA Moshi mjini?
Akikupa jibu naamini hautatosheka.Utaomba na picha za maandamano aliyoyafanyia chumbani mwake.Sikuwahi kudhania id kama yako ina wepesi wa kuhorojoka kama hivyo.
NB;Siasa anazofanya hamfanyii mama yake.Ni kwa ajili ya Tanzania.Nyerere hakuwahi kuandamana Nyamswa,Nyakanga,Bitaraguru wala Ikizu.
 
Kwani mbeya kulikuwa kongamano au maandamano? Coasters zaidi ya 300 ziliwachanganya ccm wakatupa taulo kwa kutegemea policcm
 
Mzee Freeman Mbowe salaam!

Nataka unipe mrejesho tu, ni lininuliitisha maandamano ya kitaifa ya CHADEMA Moshi mjini?
Analeta maandamano mahali kama Mbeya kwa kuwa anajuwa kuna mburura wengi wataacha kazi zao na watamuunga mkono.

Wachagga hawana muda mchafu wa kuacha kutafuta hela na kufanya mambo ya kijinga. Hamna mchagga mjinga.
 
Acheni kutokuwa serious na mambo yenu watanzania!
 
Mzee Freeman Mbowe salaam!

Nataka unipe mrejesho tu, ni lininuliitisha maandamano ya kitaifa ya CHADEMA Moshi mjini?
Tanzania wamefanya mikoa 5 na majibu ya baadhi ya huduma zilipatikana. Mikoa Iko 26 mbona haujataja Mikoa mingine? Samia kafanya mikutano Katavi, Songwe, Morogoro mbona haujauliza Kizimkazi?
 
Hata Kizimkazi nako Mbowe aende kuandamana , akutane na 4R kwa uzuri.
 
Back
Top Bottom