Mbowe hebu tupe jibu, lini ulifanya maandamano ya CHADEMA Moshi mjini?

Mbowe hebu tupe jibu, lini ulifanya maandamano ya CHADEMA Moshi mjini?

..Wachagga wako nchi nzima wanafanya biashara, wamechangamana na jamii za maeneo ya mbali toka kwao.
Bora akafanye maandamano Moshi kieleweke kabisa.
Mbowe hajaacha tabiavya kupeleka vurugu kwingine, aanzie kwao.
 
Kumenisaidia kutokuwa mjinga kama wengi wenu. Mnatumika na ccm hata bila kujitambua, acheni ubinafsi.
Una kipimo cha ujinga? Mbona sisi tunakuona ni mjinga tayari
 
Una kipimo cha ujinga? Mbona sisi tunakuona ni mjinga tayari
Sioni namna gani mtu mwenye akili nzuri anaweza bado akapenda kuona CCM ukikaa madarakani kwa karibu miaka 70 sasa na bado akaendelea kumshabikia!
 
Sioni namna gani mtu mwenye akili nzuri anaweza bado akapenda kuona CCM ukikaa madarakani kwa karibu miaka 70 sasa na bado akaendelea kumshabikia!
Kwa hiyo unadhani chadema ina uwezo wa kutawala Tanzania? Yaani akina Sugu na Mdude?
 
Kwa hiyo unadhani chadema ina uwezo wa kutawala Tanzania? Yaani akina Sugu na Mdude?
Hivi unafikiri CCM ni akina Nchimbi na Samia tu wapo wengi mno wengine. Msiopenda mabadiliko kwanza ni kwa sababu ya ujinga na pili ni kwa sababu ya ubinafsi mkubwa. Mnafaidika kibinafsi na mfumo huu dhalimu.
 
Kama unadhani mabadiliko ya CCM kuja CHADEMA yatakuboreshea maisha tambua kuwa uko usingizini. Tumia muda wako kufanya shughuli za kiuchumi na siyo kushabikia wanasiasa.

Vijana mnatumika bila kujijua. Huna kitu sasa hivi, kutwa barabarani kushabikia CHADEMA.

ChoiceVariable anasema "Wanasiasa wote wako hivyo so unapojitoa ufahamu kupambania kile unaambiwa na Wanasiasa do at your own risks.

Mimi naamini kutumia Nguvu na maarifa kupambania maisha Yako ndio kitu Cha msingi kuliko hayo ya Wanasiasa."

Bora nipambane na Polisi au TRA kwenye biashara yangu kuliko kwenda kuandamana kina Mbowe and likes .
 
Back
Top Bottom