Mbowe hebu tupe jibu, lini ulifanya maandamano ya CHADEMA Moshi mjini?

Mbowe hebu tupe jibu, lini ulifanya maandamano ya CHADEMA Moshi mjini?

Akikupa jibu naamini hautatosheka.Utaomba na picha za maandamano aliyoyafanyia chumbani mwake.Sikuwahi kudhania id kama yako ina wepesi wa kuhorojoka kama hivyo.
NB;Siasa anazofanya hamfanyii mama yake.Ni kwa ajili ya Tanzania.Nyerere hakuwahi kuandamana Nyamswa,Nyakanga,Bitaraguru wala Ikizu.
Mbowe afanye uzalendo, akaandamani na kwao ili kule wajue utamu wa virungu.
 
Hata Kizimkazi nako Mbowe aende kuandamana , akutane na 4R kwa uzuri.

..Wazanzibari wanatoa kauli za vitisho na uvunjifu wa amani kuliko Watanganyika lakini hawakamatwi na kupigwa kama tunavyofanyiwa.
 
Analeta maandamano mahali kama Mbeya kwa kuwa anajuwa kuna mburura wengi wataacha kazi zao na watamuunga mkono.

Wachagga hawana muda mchafu wa kuacha kutafuta hela na kufanya mambo ya kijinga. Hamna mchagga mjinga.
Spot on.
Tatizo wajinga wengi hawaijui hilo.
 
Back
Top Bottom