masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Kule ambako wewe hujawahi kufika.Moshi mjini ndio wapi bwashee?
Kumanishaa (NI LINI ULIITISHA ) au cyo mkuu..ni lininuliitisha
Mkuu Mbowe anaitisha vurugu na maandamano kote kwingineko, lakini si nyumbani kwao alikojenga hekalu lake.Kumanishaa (NI LINI ULIITISHA ) au cyo mkuu..
Ulitaka kueleza nn zaidi Kwenye hilii...
Ww ungefanya hvyo mkuu km ww n mbowee🤭Mkuu Mbowe anaitisha vurugu na maandamano kote kwingineko, lakini si nyumbani kwao alikojenga hekalu lake.
Moja maandamani ni njia ya kesema hatukubaliani na Jambo fulani.Mzee Freeman Mbowe salaam!
Nataka unipe mrejesho tu, ni lininuliitisha maandamano ya kitaifa ya CHADEMA Moshi mjini?
Ndio maana nataka kujua lini maandamano ya CHADEMA yatafanyika Moshi mjini.Moja maandamani ni njia ya kesema hatukubaliani na Jambo fulani.
Ni njia pia kusema tunaunga mkono jambo fulani.
Sasa unataka Mbowe afanye nini wakati Kinamrema walishafanya yote huko nyuma Sasa ni zamu ya wengine.
Mzee Freeman Mbowe salaam!
Nataka unipe mrejesho tu, ni lininuliitisha maandamano ya kitaifa ya CHADEMA Moshi mjini?
Mzee Freeman Mbowe salaam!
Nataka unipe mrejesho tu, ni lininuliitisha maandamano ya kitaifa ya CHADEMA Moshi mjini?
Moshi hawawezi kukubali huo ujinga wa maandamano. Wachaga wafunge maduka kisa maandamano ya Mbowe? Maandamano yanayokubalika uchagani ni yale ya ekaristi tu.
Charity begins at home.Kwani ccm wanafanyaga Moshi?
Charity begins at home.
Mbowe aanze vurugu za maandamano huko kwso kama watu wa Moshi watakubali.
Hypocrisy at its best.
Lengo liwe niniNdio maana nataka kujua lini maandamano ya CHADEMA yatafanyika Moshi mjini.
Charity begins at home.
Mbowe aanze vurugu za maandamano huko kwso kama watu wa Moshi watakubali.
Hypocrisy at its best.
Mkuu mbona unakuwa slow thinker?..Polisi ndio wanaofanya vurugu.
..mwaka huu Chadema wamefanya maandamano maeneo mbalimbali na hakujatokea vurugu.
Wee jamaa ni mshamba sana!Mzee Freeman Mbowe salaam!
Nataka unipe mrejesho tu, ni lininuliitisha maandamano ya kitaifa ya CHADEMA Moshi mjini?