Mbowe hebu tupe jibu, lini ulifanya maandamano ya CHADEMA Moshi mjini?

Mbowe afanye uzalendo, akaandamani na kwao ili kule wajue utamu wa virungu.
 
Hata Kizimkazi nako Mbowe aende kuandamana , akutane na 4R kwa uzuri.

..Wazanzibari wanatoa kauli za vitisho na uvunjifu wa amani kuliko Watanganyika lakini hawakamatwi na kupigwa kama tunavyofanyiwa.
 
Analeta maandamano mahali kama Mbeya kwa kuwa anajuwa kuna mburura wengi wataacha kazi zao na watamuunga mkono.

Wachagga hawana muda mchafu wa kuacha kutafuta hela na kufanya mambo ya kijinga. Hamna mchagga mjinga.
Spot on.
Tatizo wajinga wengi hawaijui hilo.
 
"Siku Zote Nyumbani Yanapelekwa Maendeleo na Si Maandamano"
 
Mzee Freeman Mbowe salaam!

Nataka unipe mrejesho tu, ni lininuliitisha maandamano ya kitaifa ya CHADEMA Moshi mjini?
Platinum membership inatolewa kwa kigezo gani hapa jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…