Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi unajua Mbowe kwao nini mtoto wa ngapi unawajua ndugu zake?Mbowe anatumia hela ya baba yake saizi,bado hajaanza kutumia ya kwake plus ile 10b,ni vigumu sana kufulia hv karibuni
Nadhani pia kumemuongezea msongo wa mawazo na kuchanganyikiwa. Ndio maana juzi alikurupuka Bungeni na kusema anao ushahidi wa wabunge wa CCM kuchukua mlungula, lakini anapotakiwa kutoa ushahidi anaanza kuleta tantarira kibao....Tatu, kushindwa kwa kesi dhidi ya NHC. Ni ukweli usiopingika kuwa kushindwa kwa kesi hiyo kumemuongezea ugumu wa kufanya Biashara Freeman Mbowe...
Ndugu yangu utaishia kutapika humu ukisubiri uBWABWA na Fulana wenzio yao yanakwenda!Wadau, amani iwe kwenu.
Taarifa nilizopata hivi punde ni kwamba, Mmiliki wa Mbowe Hotels na gazeti la Tanzania Daima, Freeman Mbowe anaisoma Namba. Kwamba, hali ya kifedha ya Mbowe kwa sasa ni dhoofu kutokana na sababu mbalimbali.
Mosi, biashara zake nyingi alikuwa anafanya kijanja ujanja. Alikuwa halipi kodi wala pango ya majengo. Kwa sasa anajiona yupo kwenye wakati mgumu hasa kipindi hiki ambacho Rais Magufuli anaweka msisitizo wa kufuata taratibu katika kufanya biashara na kulipa kodi. Inadaiwa kuwq Mbowe anadaiwq mabilioni ya kodi na TRA na mamlaka nyingine hali inayomuweka kwenye hatari ya kufilisiwa.
Pili, madeni kwenye taasisi za fedha. Taarifa zilizopo ni kwamba, Mbowe ni mmoja wa wanasiasa waliotajwq na Rais Magufuli kukopa kiasi kikubwa cha fedha kwenye mabenki na mashirika ya kijamii kama NSSF. Kwamba, Mbowe anadaiwa mabilioni kwenye benki za CRDB, Twiga Bancorp a TIB. Aidha, Mbowe pia anadaiwa kiasi kikubwa cha fedha NSSF na PSPF.
Tatu, kushindwa kwa kesi dhidi ya NHC. Ni ukweli usiopingika kuwa kushindwa kwa kesi hiyo kumemuongezea ugumu wa kufanya Biashara Freeman Mbowe hasa kutokana na kutakiwa kulipa fidia ya gharama za kuendesha kesi hiyo.
kutokana na hali hiyo taarifa zilizopo ni kwamba Mbowe anapanga kupunguza wafanyakazi kwenye makampuni yake yote. Pia taarifa zilizopo ni kwamba mishahara ya watumishi watakaobaki itapunguzwa ili kupunguza gharama za uendeshaji. Hata hivyo, inaelezwa kuwa hatua hizo ni za dharura
Hatari tupu.
Kuyumba kwa biashara na mishahara, kwa jinsi yake, si jambo jema.Wadau, amani iwe kwenu.

Mwaka jana the DON LOWASSA Alikuwa anagawa MITONYO SANA MAKANISANI NA MISIKITINI, KABUMA NINI.Au Magufuli kakata mrija wao wa mtonyo kama alivyomkatia ZITTO NSSFPamoja na kuitafuna ruzuku ya chama peke yake bado hawalipi mishahara wafanyakazi wake!!??
Kwa jeuri ipi na miujiza ipi?Subiri soon ajira zitamwagwa