BAFA
JF-Expert Member
- Jul 19, 2011
- 3,059
- 5,930
Hahhahahahahhahahhah utaniua wwTanzania Daima habari wanatayarisha kwa kuegemea paja,ndio mwandishi aandike,fenicha zote zipo kwa dalali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahhahahahahhahahhah utaniua wwTanzania Daima habari wanatayarisha kwa kuegemea paja,ndio mwandishi aandike,fenicha zote zipo kwa dalali
Sasa serikali iliyofilisika itakuwa na uwezo wa kuhonga? Mbowe bana! Anajichanganya na anawachanganya na wenzakeHata kauli za Mbowe zinaonesha ana Msongo sana wa Mawzo:
Serikali imefilisika haina fedha - KUB MBOWE.
Serikali imehonga wabunge wa CCM milioni 10ili wapitishe Muswada wa habari - Asubuhi ( KUB MBOWE )
Wenye akili tunajiuliza huyu Mbowe vipi kama serikali imefilisika hele za kuhonga wametoa wapi ?
Huna unalolijua ww.Subiri soon ajira zitamwagwa
Mwambie mgombea urais,kada wa ccm Membe arudishe kwanza usd20m alizokwapua, ndiyo ulete mipasho ya taarabu humuWadau, amani iwe kwenu.
Taarifa nilizopata hivi punde ni kwamba, Mmiliki wa Mbowe Hotels na gazeti la Tanzania Daima, Freeman Mbowe anaisoma Namba. Kwamba, hali ya kifedha ya Mbowe kwa sasa ni dhoofu kutokana na sababu mbalimbali.
Mosi, biashara zake nyingi alikuwa anafanya kijanja ujanja. Alikuwa halipi kodi wala pango ya majengo. Kwa sasa anajiona yupo kwenye wakati mgumu hasa kipindi hiki ambacho Rais Magufuli anaweka msisitizo wa kufuata taratibu katika kufanya biashara na kulipa kodi. Inadaiwa kuwq Mbowe anadaiwq mabilioni ya kodi na TRA na mamlaka nyingine hali inayomuweka kwenye hatari ya kufilisiwa.
Pili, madeni kwenye taasisi za fedha. Taarifa zilizopo ni kwamba, Mbowe ni mmoja wa wanasiasa waliotajwq na Rais Magufuli kukopa kiasi kikubwa cha fedha kwenye mabenki na mashirika ya kijamii kama NSSF. Kwamba, Mbowe anadaiwa mabilioni kwenye benki za CRDB, Twiga Bancorp a TIB. Aidha, Mbowe pia anadaiwa kiasi kikubwa cha fedha NSSF na PSPF.
Tatu, kushindwa kwa kesi dhidi ya NHC. Ni ukweli usiopingika kuwa kushindwa kwa kesi hiyo kumemuongezea ugumu wa kufanya Biashara Freeman Mbowe hasa kutokana na kutakiwa kulipa fidia ya gharama za kuendesha kesi hiyo.
kutokana na hali hiyo taarifa zilizopo ni kwamba Mbowe anapanga kupunguza wafanyakazi kwenye makampuni yake yote. Pia taarifa zilizopo ni kwamba mishahara ya watumishi watakaobaki itapunguzwa ili kupunguza gharama za uendeshaji. Hata hivyo, inaelezwa kuwa hatua hizo ni za dharura
Hatari tupu.
Tanzania Daima habari wanatayarisha kwa kuegemea paja,ndio mwandishi aandike,fenicha zote zipo kwa dalali
Hata kauli za Mbowe zinaonesha ana Msongo sana wa Mawzo:
Serikali imefilisika haina fedha - KUB MBOWE.
Serikali imehonga wabunge wa CCM milioni 10ili wapitishe Muswada wa habari - Asubuhi ( KUB MBOWE )
Wenye akili tunajiuliza huyu Mbowe vipi kama serikali imefilisika hele za kuhonga wametoa wapi ?