Tetesi: Mbowe Hotels na Tanzania Daima kupunguza wafanyakazi na mishahara kushushwa

Tetesi: Mbowe Hotels na Tanzania Daima kupunguza wafanyakazi na mishahara kushushwa

Hizi si propaganda. Ni uhalisia mtupu. Soon utaona yakitokea
Ni propanaganda,sio kweli Mbowe amefulia kama ww unavyotaka kuaminisha watu..ila ukweli ni kwamba uchumi wa taifa kwa sasa ni "unstable". Tutaona mengi tu subiri
Baada ya kuona habari ya kupunguza mishahara Kwa wafanyakazi wa serikali kwa 30% ....

Ndio unakuja na propaganda hizi hapo ......

Kwahiyo na serikali ni kweli kuwa inadaiwa pesa na imefirisika haiwezi lipa mishahara Kama zamani?......

Tuanze kwanza na serikali inayokosanya 1.3 trion kushindwa kulipa wafanyakazi na kupunguza mishahara kwa 30%.

Huku kwenye sector binafsi ni sawa inawezekana maana hata bakhiresa alipunguza wafanyakazi kipindi cha nyuma........
 
Bado na huu mswaada wa habari atakaousaini Raisi utamuweka kitanzini zaidi, atatakiwa kuajili waandishi wa habari waliosoma na maslahi yao yatatambuliwa kisheria sio makajanja wa mtaani.
 
khaa yaani mtu mmoja anakopa kila benk na mifuko ya jamii pia
 
..Mbowe anapanga kupunguza wafanyakazi kwenye makampuni yake yote. Pia taarifa zilizopo ni kwamba mishahara ya watumishi watakaobaki itapunguzwa ili kupunguza gharama za uendeshaji..

Sasa anayeisoma namba hapa ni nani? Our fellow Tanzanians will be jobless suddenly and some chaps are happy, simply because Mbowe amehusika. Poor us.
 
Sasa anayeisoma namba hapa ni nani? Our fellow Tanzanians will be jobless suddenly and some chaps are happy, simply because Mbowe amehusika. Poor us.
Usishangae sana hilo, Baadhi ya Watanzania ni watu ajabu sana. Kuliko mmoja apate awasaidie wengine, wanafanya kila liwezekanalo wamharibie wakose wote huku wakijifariji na methali za kijinga kama, "Mwaga mboga nimwage Ugali tukose wote"
 
Mwaka jana the DON LOWASSA Alikuwa anagawa MITONYO SANA MAKANISANI NA MISIKITINI, KABUMA NINI.Au Magufuli kakata mrija wao wa mtonyo kama alivyomkatia ZITTO NSSF
lusinde aliwaambia wamefirisika wao sio nchi... maana nchi bado ina rasilmal kibao... na nyingine ndio kwanza zina gundulika....
 
mbona
Watanzania tunafurahia sana kufilisika kwa wenzetu lakini hapo hapo ajira zinapungua, kodi na mzunguko unapungua.
star tv imetangaza kupunguza ajira kwa sekta ambazo sio muhimu na yeye ameisoma namba...
 
Mwambie mgombea urais,kada wa ccm Membe arudishe kwanza usd20m alizokwapua, ndiyo ulete mipasho ya taarabu humu
muwe mna wataja msiwakalie kimywa... kuna mwingine uliye mficha... ebu mtaje....
 
Umemuona mbowe tu,hizo hotel zinazogeuzwa kuwa hostel ni za mbowe?maisha yamekuwa magumu sababu ni mbowe?pesa haionekani mtaani sababu ni mbowe?wanafunzi wananyimwa Mikopo sababu ni mbowe? Wabunge wa CCM wanagawana mil10 sababu ni mbowe? Watumishi hawana nyongeza ya mshahara sababu ni mbowe? Mambo binafsi ya mbowe yamekuwa ndio agenda yenu,wenzako wamepewa mil10 we buku7 inahangaika kuchafua mwenzio.hali ngumu kwa Kila mtanzania hata ww mtoa thread Hali Mbaya ndio maana inahangaika buku7.unakuwa kama umekunywa maji ya co___m iliyotumika*#£;:'*℅[emoji769][emoji768][emoji767]$¥€=¶×π¢
na wewe tuletee unao wafahamu... ili tupime kasi ya maendeleo inayosemwa na hasara tunazo ziona moja kwa moja na nini tushauri kwa mifano halisi... hii nchi ni yetu sote tusi jigawe kwa kulaumiana mzee..... ebu leta hao waliofilisika ni wakina nani... wana fanya shughuli gani... ni maarufu.... vipi kilimanjaro hotel sijui serena hotel vipi imeuzwa? nayo ilikuwa ina endeshwa kiujanja ujanja...
 
Hali ya uchumi sasa kwa uchumi ni mbaya,sio Mbowe tu atakae fanya hayo hata tigo wameshachkua hatua kama hizo ...mwenye akili ndogo atasema kama mleta mada anavyoaamin
lakini uchumi umekua vizuri tu... sasa tatizo hapa ni nini... sh. hamsini huku kwetu sikuiz tuna itumia tofauti na hawali... pesa ni dili pesa ina thamani... haiwekwi ovyo karibu na watoto au watu wenye madeni...
 
Usishangae sana hilo, Baadhi ya Watanzania ni watu ajabu sana. Kuliko mmoja apate awasaidie wengine, wanafanya kila liwezekanalo wamharibie wakose wote huku wakijifariji na methali za kijinga kama, "Mwaga mboga nimwage Ugali tukose wote"
sio hiyo tu... kuna methali mpya... bana matumizi huu mbue wapiga dili...
 
Back
Top Bottom