Chillah
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 8,870
- 10,066
si ameoa kwa mwenye chama... ana mpunga balaa... kwanini asimsaidie kulipa madeni...Mkuu yeye ndio msimamizi mkuu wa mali za familia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
si ameoa kwa mwenye chama... ana mpunga balaa... kwanini asimsaidie kulipa madeni...Mkuu yeye ndio msimamizi mkuu wa mali za familia
Lusinde alisema sikuizi wanachangishana pesa kuendesha kesi zinazo wakabili... tofauti na zamani kipindi cha wapiga dili... huo ndio uhalisia wa pesa kuadimika... ukiipata weka mbali na wenye madeni watakupiga ndole...Uonyeshe hapa huo uhalisia wenyewe!
Lusinde ni nani? Umeweka akili yako kwa watu wa aina hii? serious?Lusinde alisema sikuizi wanachangishana pesa kuendesha kesi zinazo wakabili... tofauti na zamani kipindi cha wapiga dili... huo ndio uhalisia wa pesa kuadimika... ukiipata weka mbali na wenye madeni watakupiga ndole...
waandamane walipwe...Wafanyakazi wa Uhuru Publication washalipwa?
wewe umeweka zako kwa wadaiwa... utafilisika mkuu... eb ziondoe...Lusinde ni nani? Umeweka akili yako kwa watu wa aina hii? serious?
Uongo wako hapo kwenye red ukitimia najitoa JfBaada ya kuona habari ya kupunguza mishahara Kwa wafanyakazi wa serikali kwa 30% ....
Ndio unakuja na propaganda hizi hapo ......
Kwahiyo na serikali ni kweli kuwa inadaiwa pesa na imefirisika haiwezi lipa mishahara Kama zamani?......
Tuanze kwanza na serikali inayokosanya 1.3 trion kushindwa kulipa wafanyakazi na kupunguza mishahara kwa 30%.
Huku kwenye sector binafsi ni sawa inawezekana maana hata bakhiresa alipunguza wafanyakazi kipindi cha nyuma........
Benki ya Twiga ...........Mkuu, CHADEMA kwa style hii ya kukumbatia maovu hakika watavurugwa
Shamba la wabunge wa ccm ......milini 10 zatosha......Afirisiwe tu ...Tz siyo shamba la bibi
Hela ya kuonga watoa kwenye michango ya tetemeko.................Hata kauli za Mbowe zinaonesha ana Msongo sana wa Mawzo:
Serikali imefilisika haina fedha - KUB MBOWE.
Serikali imehonga wabunge wa CCM milioni 10ili wapitishe Muswada wa habari - Asubuhi ( KUB MBOWE )
Wenye akili tunajiuliza huyu Mbowe vipi kama serikali imefilisika hele za kuhonga wametoa wapi ?
Umeshasema ni Tetesi, kwahiyo mimi nasema hivi. Si kweli. Period!!Wadau, amani iwe kwenu.
Taarifa nilizopata hivi punde ni kwamba, Mmiliki wa Mbowe Hotels na gazeti la Tanzania Daima, Freeman Mbowe anaisoma Namba. Kwamba, hali ya kifedha ya Mbowe kwa sasa ni dhoofu kutokana na sababu mbalimbali.
Mosi, biashara zake nyingi alikuwa anafanya kijanja ujanja. Alikuwa halipi kodi wala pango ya majengo. Kwa sasa anajiona yupo kwenye wakati mgumu hasa kipindi hiki ambacho Rais Magufuli anaweka msisitizo wa kufuata taratibu katika kufanya biashara na kulipa kodi. Inadaiwa kuwq Mbowe anadaiwq mabilioni ya kodi na TRA na mamlaka nyingine hali inayomuweka kwenye hatari ya kufilisiwa.
Pili, madeni kwenye taasisi za fedha. Taarifa zilizopo ni kwamba, Mbowe ni mmoja wa wanasiasa waliotajwq na Rais Magufuli kukopa kiasi kikubwa cha fedha kwenye mabenki na mashirika ya kijamii kama NSSF. Kwamba, Mbowe anadaiwa mabilioni kwenye benki za CRDB, Twiga Bancorp a TIB. Aidha, Mbowe pia anadaiwa kiasi kikubwa cha fedha NSSF na PSPF.
Tatu, kushindwa kwa kesi dhidi ya NHC. Ni ukweli usiopingika kuwa kushindwa kwa kesi hiyo kumemuongezea ugumu wa kufanya Biashara Freeman Mbowe hasa kutokana na kutakiwa kulipa fidia ya gharama za kuendesha kesi hiyo.
kutokana na hali hiyo taarifa zilizopo ni kwamba Mbowe anapanga kupunguza wafanyakazi kwenye makampuni yake yote. Pia taarifa zilizopo ni kwamba mishahara ya watumishi watakaobaki itapunguzwa ili kupunguza gharama za uendeshaji. Hata hivyo, inaelezwa kuwa hatua hizo ni za dharura
Hatari tupu.
Source please!!!!!!!!Wadau, amani iwe kwenu.

Thubutuuu ndio unavojidanganya utamngoja mtaai hutamuona huyo anaisoma namba tofauti na sisi wa kawaida mtaani.. Huyo hapktezi kitu bado ana mapesa mjombaTunamsubiri kijiweni tunywe nae kahawa na kashata na sigara tumgongee. Mzimu wa Dr. Slaa unamuandama sasa bado na ile gari ya KUB anyang'anywe.