minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Mbowe sasa uwezo wa kufikiri upo chini Akili yake kama ya cheyo shibuda lipumbaHuyu jamaa kajishushia hadhi na heshima aliyoijenga kwa muda mrefu kisa tamaa, Pumbavu kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe sasa uwezo wa kufikiri upo chini Akili yake kama ya cheyo shibuda lipumbaHuyu jamaa kajishushia hadhi na heshima aliyoijenga kwa muda mrefu kisa tamaa, Pumbavu kabisa
Ndugu yangu siku hizi uko wapi huonekani kabisaYaani leo kamanda unadiriki kumuita mwamba tuvushe Nkurunzinza wa Machame kweli?😂
Mbowe hana busara ni mwizi kams wezi wengineBusara apeleke kwenye familia yake huku kwenye siasa zimetosha
Mbowe huwaua na kuwahujumu wale wanaotia nia mapema ya kugombea uenyekiti kama alivyopata kufanya kwa wangwe zito na juzi Heche , Alichofanya Lisu ni kumshitukiza ghafra ili kukwepa mitego ya kuuawa au kudhoofishwa na kamati yake ya Roho mbaya inayoongozwa na Mdee, Boniface, Wenje na SuguMbona yeye alibadili gia angani 2015 kwa Lowassa? Yeye Lissu akibadili gia angani kugombea uwenyekiti kuna shida gani?
Ameingia mtego kumuongelea vibaya Lissu wakati Lissu anajenga hoja kuhusiana na chama na sio Mbowe binafsi.
Kule nyumbani kwake alitengeneza maigizo kwani watu waliovamia wasingeweza kupata viti vingi vya kukaa ina maana alipanga mapemaKwahiyo Mhe Mbowe ni kwamba hiyo nafasi ya Uenyekiti ni kwamba alijipanga kugombea
Na siyo kweli kwamba alilazimishwa na ile nyomi ya watu iliyovamia nyumbani kwake na kumshauri agombee?
Tuamini lipi kati ya haya mawili aliyoyasema?
Kwa hio amekataliwa mtaani?😀😀😀Kwani kusema FAM amekataliwa ni ujasiri? wakati jambo ambalo lipo wazi tuu huku mtaani
Hoja yako ipi maana mbowe tushamkataaKwa hio amekataliwa mtaani?😀😀😀
Kwani si ni sikuzote mnawakataa mtaani na kwenye sanduku la kura?hata mkiitwa maandamano hamtokei makamanda?
Inakuwaje sasa mnajifanya ndio mnaanza kumkataa wakati siku zote mnakataa harakati zao
Maandamano umejifungia ndani na mkeo anatokea mwenyewe leo ukurupuke umtoe kizembe,hakuna kitu kama hicho Duniani 😀,hata mimi sikubali
Acheni unafiki
Usiweke wingi hapoHoja yako ipi maana mbowe tushamkataa
Nliowahamasisha wote kupiga kura LGE nimewaenezea sumu ya kukataa chama endapo FAM akishindaUsiweke wingi hapo
Sema Umemkataa wewe na mkeo
Yani chama kikataliwe au kife kwa kua flani kashindwa?mkakati wenu ni upi sasa?Nliowahamasisha wote kupiga kura LGE nimewaenezea sumu ya kukataa chama endapo FAM akishinda
Na hizi audio zinasikilizwa kwenye sabufa kila mtu amsikieUsiweke wingi hapo
Sema Umemkataa wewe pamoja na
Mwache abaki mwenyeweYani chama kikataliwe au kife kwa kua flani kashindwa?mkakati wenu ni upi sasa?
Mtatapa tapa mpk akili ziwakae sawa.
Yaani mtanyooka
ACT ipo inahitaji wafuasi kama nyie
Kama hizi ndio akili za makamanda,bora Mbowe abaki mwenyewe 😝
Ndio maana mnaitwa Nyumbu,akili zenu hazina akili,mnaongozwa na hisia,wafuasi msio na akili
Ondoka haraka,sepa hakuna atakae kuwazaNa hizi audio zinasikilizwa kwenye sabufa kila mtu amsikie
Mwache abaki mwenyewe
Mbona chawa unaumia sana? Kwani nikitangaza unaumia nini wewe kibaraka?Ondoka haraka,sepa hakuna atakae kuwaza
kwani ulipojiunga ulitangaza?au kuja kupost hapa jf
Unatakiwa usepe kimya kimya kama ulivojiunga kamanda
Unamtangazia nani?na ili iweje?Mbona chawa unaumia sana? Kwani nikitangaza unaumia nini wewe kibaraka?
Mbowe hajafurahia kabisa Lissu kugombea uenyekiti...Alivyomtuma wenje kugombea makamu alitegemea nini?
Sawa ya moto ni motoAlivyomtuma wenje kugombea makamu alitegemea nini?
Ewe chawa wa mbowe, kwani chadema ni mali yenu na mmeo??Unamtangazia nani?na ili iweje?
mtu mmoja hauna athari yeyote
kazi kuandika andika tu humu jf
Acheni kulia lia kama wanawake,umeamua kuondoka ondoka,unamtangazia nani,unataka ubembelezwe,kwani mapenzi haya