You need to get away from this fallacy. Who is the "master"? There's only one master in Tanzania, and that is the woman an man in the villages, and everywhere where yo can find them in this great nation.You cant fight your master and win...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You need to get away from this fallacy. Who is the "master"? There's only one master in Tanzania, and that is the woman an man in the villages, and everywhere where yo can find them in this great nation.You cant fight your master and win...
I must say, you're totally confused. You're not even standing on "wobbly legs"! You're kneeling dowd submitting yourself to the devil.Whether Tanzanians needs him or not, he should submit to his master who was feeding him for the past 20 years ..
Whether CDM will stand and be trusted after this cause is the question for another day .
There's a stuck difference between the two' you can't even begin mistaking one for another!
Mbowe's dirty tricks are finally laid bare for everyone to see! Evidence is abundant and unmistakable; evidence that is finally laid clear on issues that were not easily explained in the past. Lowassa's candidacy, COVID- 19; hard to explain expenditures in the party. But his adventures with Samia, into the so called "Maridhiano", this has been the tipping point of his downfall from grace.
Look at this shameful misadventure in a final nail into his coffin as a respected political figure! Why would one want to play into a pond full of dirt and expect to come out clean!
Literally speaking right?You need to get away from this fallacy. Who is the "master"? There's only one master in Tanzania, and that is the woman an man in the villages, and everywhere where yo can find them in this great nation.
People of this nation have shown over and over how powerful they are when there is leadership they trust.Literally speaking right?
Power is on the people you say?
Not now, not here.. sorry !
When,People of this nation have shown over and over how powerful they are when there is leadership they trust.
We can't waste time arguing on this one. It will require me spending a tremendous amount of time explaining the nitty gritty of what it takes for a trusted leader to unleash this powerful force.When,
1995, 2000, 2005, 2015, 2020?
They have no power,
All power vested somewhere else, somewhere..
May be sometime later....
Hii "labelling" inausadiaje huu mjadala?
Usiwasahau Yericko Nyerere , Ntobi, na Bonge Yai.Wenje, Sugu, Kigaila na Mrema 🐼
Naweza kukuambia kwa uhakika hii ni '' Intrinsic motivation'Can you by name of God say with confidence who is indriving these agenda?
Ukiona hivyo ujue jambo limepita ''yield point'As to why FAM is portrayed as so bad and corrupt now but not 3 years ago?
Not sure! but there comes a time the status quo is untenableAnd TL is so clean, saint from heaven who will distribute 107M to all over 1200 CDM leaders?
Kuna fact ambayo ni undisputed, CDM imepoteza mwelekeo. Hiyo Turbidity ni nature inayofanya kazi baada ya wahusika kushindwa kusoma alama za nyakati. Je, TAL ni panacea ? not sure! nature inatuambia '' mutatis mutandis''Turbidity politics revolving around the intention is what scares me a lot.
Kuna mtu nimenjibu kwamba ''reaction' anayoiona ni kutokana na madudu mengi chini ya 'Maridhiano.Baada ya miaka 20 kama mwenyekiti na sura ya chama kama inavyodaiwa, Chadema katika uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu imeambulia chini ya asilimia 1%.
Uongozi wa juu kabisa hauwezi kukwepa lawama kwa msimamo wao kuhusu uchafuzi waliokubali kushiriki kama chama.
"We cannot solve our problems with the same thinking we used when we created them", alisema Einstein.
Uongozi wa juu kabisa wa Chadema ulikuwa mwepesi kudanganyika ukiwa na imani potofu jinsi uchaguzi ungeendeshwa baada ya maridhiano...sababu?
Kuita kilichotokea ni maridhiano ni misnomer. Yale yalikuwa ni majadiliano kuelekea kwenye maridhiano. Maridhiano yangekuwa yamefikiwa wangesaini mkataba. Mfano ni mazungumzo yanayoendelea kati ya Hamas na Israel. Lengo ni ceasefire, matekwa kuachiwa na wafungwa kuachia. Hatua ya kwanza ndio ilisababisha mateka na wafungwa wengi kuachiwa. Mazungumzo ya maridhiano ndio yalipelekea wanachama na wafuasi wengi wa Chadema kuachiwa, viongozi waliokuwa uhamishoni kuweza kurudi, mikutano ya kisiasa ya hadhara kuruhusiwa na Chadema kuweza kuanza kupokea ruzuku iliyowapa nguvu zaidi ya kuendesha chama chao. Sehemu kubwa iliyobaki ni Katiba Mpya, Tume Huru ya Uchaguzi na Covid-19. Chadema ilipoona kuwa hakuna movement yeyote hapo Chadema ika suspend ushiriki wao. Faida nyingine ambayo Chadema waliyoipata ni kuwa machoni mwa nchi na mashirika ya kitaifa walionekana kuwa ni watu reasonable.Kuna mtu nimenjibu kwamba ''reaction' anayoiona ni kutokana na madudu mengi chini ya 'Maridhiano.
Tunakumbukumbu tofauti. Ninavyokumbuka mimi ni kuwa wakati Mbowe yuko rumande juhudi kubwa zilikuwa ni kuhakikisha kuwa kesi yake inafutwa. Ni juhudi za vijana kama Martin Maranja Masese za kutoa taarifa za yanayoendelea kila siku mahakamani, wakina mama wa Bawacha kama yule Mwakipesile ambao walienda pamoja na uchache wao kujigalagala nje ya Ubalozi wa Marekani. Wanawake hao wa Bawacha wakawa wanafanya jogging kama sehemu ya shinikizo hilo. Juhudi hizo zilitiwa nguvu pia na mwakilishi mmoja wa ubalozi wa nchi za magharibi kuhudhuria mahakamani kila siku. Nguvu karibu zote zilielekezwa Mahakamani. Mbowe alipotoka, na mikutano ya hadhara kuruhusiwa Chadema walifanya maandamano makubwa katika miji mikubwa ya kudai Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi. Wakati hayo yanafanyika, mazungumzo kuhusu maridhiano yalikuwa yana endelea.FAM alikamatwa Mwanza kwasababu ya kongamano la Katiba! Alikaa magereza miezi 8
Akiwa Magereza BAVICHA /BAWACHA Walikuwa moto na Katiba!
Kiukweli ni kuwa muda ulikuwa mfupi hadi kufikia uchaguzi Mkuu hasa ukizingatia representation iliyopo sasa hivi katika Bunge na kuwa CCM haiko tayari kufanya mabadiliko ambayo yata threaten nafasi waliyokuwa nayo. Sana sana wangeweza kuleta Katiba Mpya kama ile waliyopendekeza awali na ikapitishwa na Bunge na hamna mtu ambae angekuwa na uwezo wa kuwazuia.FAM alipotoka na kuingia maridhiano akaenda Mwanza na kusema '' Hatuwezi kudai Katiba , muda ni mfupi hadi uchaguzi mkuu. Tutapigania reform katika Tume ya Uchaguzi na mabadiliko ya usimamizi serikali za Mitaa''
FAM akajiunga na ACT waliotaka upuuzi wa ''minimal reforms''. CCM wakapeleka mswada wakatumia mhuri wa Bunge! Hakuna Katiba hakuna 'reform''. Hizi flip flop zinamhusu FAM.
Hata yeye anaona.Kumfikishia mwamba na ninyi ujumbe huu mwanana.
Au wewe huoni hivyo ndugu?
OK! kwa minajili ya mjadala tukubali ni misnomerKuita kilichotokea ni maridhiano ni misnomer.
Maridhiano kati ya nani na nani ! Maridhiano ya ugomvi gani na unohusisha akina nani.Yale yalikuwa ni majadiliano kuelekea kwenye maridhiano.
Mkataba kati ya nani! ni sheria gani ya nchi inayoeleza mikataba baina ya raia wake!Maridhiano yangekuwa yamefikiwa wangesaini mkataba.
Huu ni mfano mzuri sana! Hawa wameumizana kwa muda mrefu. Kinachtafutwa ni mazungumzo ya maridhianoMfano ni mazungumzo yanayoendelea kati ya Hamas na Israel.
Je haya ni fadhila au haki ! Je, yalihitaji maridhiano. Unawezaje kutafuta maridhiano kwa haki iliyoporwa.Mazungumzo ya maridhiano ndio yalipelekea wanachama na wafuasi wengi wa Chadema kuachiwa, viongozi waliokuwa uhamishoni kuweza kurudi, mikutano ya kisiasa ya hadhara kuruhusiwa na Chadema kuweza kuanza kupokea ruzuku iliyowapa nguvu zaidi ya kuendesha chama chao.
Ukisoma kinachosemwa madai ya TAL , suala kubwa lilikuwa Katiba na Tume ya uchaguziSehemu kubwa iliyobaki ni Katiba Mpya, Tume Huru ya Uchaguzi na Covid-19.
Mikoani kulikuwa na BAWACHA /BAVICHA wakiwa na TV set tena online wakihimiza Katiba mpya.Ninavyokumbuka mimi ni kuwa wakati Mbowe yuko rumande juhudi kubwa zilikuwa ni kuhakikisha kuwa kesi yake inafutwa. Ni juhudi za vijana kama Martin Maranja Masese za kutoa taarifa za yanayoendelea kila siku mahakamani, wakina mama wa Bawacha kama yule Mwakipesile ambao walienda pamoja na uchache wao kujigalagala nje ya Ubalozi wa Marekani. Wanawake hao wa Bawacha wakawa wanafanya jogging kama sehemu ya shinikizo hilo.
Hapana! Mkutano wa kwanza baada ya Ikulu ulikuwa Iringa (BAWACHA) . Watu walitaka kusikia msimamo wa M/Kiti.Mbowe alipotoka, na mikutano ya hadhara kuruhusiwa Chadema walifanya maandamano makubwa katika miji mikubwa ya kudai Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi. Wakati hayo yanafanyika, mazungumzo kuhusu maridhiano yalikuwa yana endelea.
Hapana! Hoja ilikuwa kurudi katika rasimu ya Warioba. Muda ulikuwepo, kilichopoteza muda ni Maridhiano.Kiukweli ni kuwa muda ulikuwa mfupi hadi kufikia uchaguzi Mkuu hasa ukizingatia representation iliyopo sasa hivi katika Bunge na kuwa CCM haiko tayari kufanya mabadiliko ambayo yata threaten nafasi waliyokuwa nayo. Sana sana wangeweza kuleta Katiba Mpya kama ile waliyopendekeza awali na ikapitishwa na Bunge na hamna mtu ambae angekuwa na uwezo wa kuwazuia.